Ha ha ha ha...anatafuta mbegu tena?Mbaya zaidi akiwa over 30 na bado haja olewa na hana mtoto,,,,,anavyohangaika kutafuta mume na mbegu Kwa nguvu ni hatari..,,sometimes najiuliza ndy huyu aliyekuwa ananata sana kipindi kile?Basi umri huo ukigusa tu kutongoza,,,,kesho nakuja nitumie nauli....harembi tena kama alipokuwa under 26 of aged....
Ndy zao hizo mkuu,,wewe akikuringia akiwa under 25...usiwe na haraka nae,,msubiri 30,,,hata kwa soda unambeba,,Ha ha ha ha...anatafuta mbegu tena?
[emoji120]Good.
Hongera sana!!!
Rafiki i love you so muchMuoe wewe
Wengi wanapatwa na bahati mbaya kuzaa na waume za watu.
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Aisee Bw. Mokaze mimi nimeoaKuolewa ni kazi kuliko kuoa, Wewe unataka hao dada zetu waanze kufanya mambo ya ajabu ili wapate kuolewa, hiyo ni hatari, sasa kama waoaji wenyewe hawapo au waoaji wenyewe ndio akina nyie ???!! Hiyo ni hatari.
Hata Mimi najiuliza hili swali.... Sijapata majibu 😂😂😂😂Aibu ya kutokuolewa kwa wanawake inasababishwa na nini?
This is a very good question..... 🤣🤣🤣🤣Na mwanamke asipoolewa ila akaoa je, hapo vipi?
Maajabu haya🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuolewa asiolewe yeye aibu upate wewe?
Hivi rafiki wanawake pia huwa wanapenda threesome?inatakiwa tuolewe na mwanaume mmoja tuwe tunapiga 3some
Aisee Bw. Mokaze mimi nimeoa
Nakiri hilo mkuu.Wewe umeoa, lakini usisahau wapo wanaowachelewesha watoto wa wenzao kuolewa, wanasubiri mtu akate shauri lakini wapi, kama huyu hapa[emoji1313][emoji1313]
Sasa kama una 35 years mpaka hapo hujawa tayari kuingia kwenye ndoa, sijui unajiona hjapevuka?Hakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair