Ili iweje? Ni kama vile mnatafuta wafanyakazi kwenye nyumba zenu. Na nyie ndio mnasababisha ndoa ziwe na matatizo kwa hizi kauli zenu. Binti anaamua aolewe kisa tu atapata aibu.nahamasisha wanawake waolewe mapema
Miss kitongoji
Ndio sababu nimekuita, umri unakutupa mtoto mzuri uwe kama vigagula ..nataka nikuepusha na hilo balaaa[emoji7] [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]Ndio sababu nimekuita, umri unakutupa mtoto mzuri uwe kama vigagula ..nataka nikuepusha na hilo balaaa[emoji7] [emoji7]
Fimbo ya mbali haiui nyoka miss, mm naleta ombi kwako sahiv infact natangaza nia kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo pakupambambana sasa[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fairWanaosema wenzao ndoa sio muhimu siku hizi kumbe wao wameshaolewa agizen pepsi baridi...hahahah!!!
Kweli Mungu anataka lkn hapo hapo kila mtu siku ake ya kuoa ama kuolewaMungu anataka waolewe mbona
Tatizo wanawake wako pressured sana katika hilo...Mi nna mifano kibao sikuhizi watt wakimaliza degree zao tu wanataka waolewe tu kama fantasy. Shida inakuja utayari haukuwepo ila tamaaHakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair
Nyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.Tatizo wanawake wako pressured sana katika hilo...Mi nna mifano kibao sikuhizi watt wakimaliza degree zao tu wanataka waolewe tu kama fantasy. Shida inakuja utayari haukuwepo ila tamaa
Charii pambana na hali yakoHapa ndipo pakupambambana sasa
Hahahah mi naonaga kawaida tu tena waume huwa hatungaga presha, ila mademu ndio wenyewe mnaosheana kutokana na kucheza kwaito kwenye shughuli za wenzenu. Kila mmoja anarudi kwa boy wake na kuanza kulazimisha hilo swala wengine ndio wanaoa kishingo upande harusi ikishapita vurugu haziishi mjengoni!Nyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.
Why mnawapa pressure wasichana?
Na kuna nini hasa huko kweye ndoa mpaka muwalazimishe kuingia?
Usiondoke ukhuty, njoo tubilingebayoyo na tucheze ukutiNitarudi