Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ili iweje? Ni kama vile mnatafuta wafanyakazi kwenye nyumba zenu. Na nyie ndio mnasababisha ndoa ziwe na matatizo kwa hizi kauli zenu. Binti anaamua aolewe kisa tu atapata aibu.nahamasisha wanawake waolewe mapema
Kama mnaingia kwenye ndoa kwa kuona aibu na fashion..myfriend mna matatizo sana. Ndo maana ndoa zimekosa thamani maana hata wasiofaa kuoa au kuolewa wapo..