Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

nahamasisha wanawake waolewe mapema
Ili iweje? Ni kama vile mnatafuta wafanyakazi kwenye nyumba zenu. Na nyie ndio mnasababisha ndoa ziwe na matatizo kwa hizi kauli zenu. Binti anaamua aolewe kisa tu atapata aibu.
Kama mnaingia kwenye ndoa kwa kuona aibu na fashion..myfriend mna matatizo sana. Ndo maana ndoa zimekosa thamani maana hata wasiofaa kuoa au kuolewa wapo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani ai wewe haya niweke hata kwa rafiki yko ila age yng ni 27[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Fimbo ya mbali haiui nyoka miss, mm naleta ombi kwako sahiv infact natangaza nia kabisa

I love u so much miss yaani ni kama siku zote nilikuwa naomba uje realize how much time z at the essence of diminishing point.

Na uzi huu umefika wakati mujarabu kabisa.

ombi langu ni ww unipe nafas japo kwenye stoo ya moyo wako ili as time goes najua utanikaribisha sebuleni baadae chumbani(kwenye moyo wako)[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Hakuna aliyesema ndoa si muhimu. Ni muhimu kwa ambao tayari wameamua kuingia kwenye ndoa kwa mapenzi yao na si kuwafanya watu waingie kisa tu umri umeenda. Akiolewa akafanya madudu mnaanza kumponda. Not fair
Tatizo wanawake wako pressured sana katika hilo...Mi nna mifano kibao sikuhizi watt wakimaliza degree zao tu wanataka waolewe tu kama fantasy. Shida inakuja utayari haukuwepo ila tamaa
 
Tatizo wanawake wako pressured sana katika hilo...Mi nna mifano kibao sikuhizi watt wakimaliza degree zao tu wanataka waolewe tu kama fantasy. Shida inakuja utayari haukuwepo ila tamaa
Nyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.
Why mnawapa pressure wasichana?
Na kuna nini hasa huko kweye ndoa mpaka muwalazimishe kuingia?
 
Hahahah mi naonaga kawaida tu tena waume huwa hatungaga presha, ila mademu ndio wenyewe mnaosheana kutokana na kucheza kwaito kwenye shughuli za wenzenu. Kila mmoja anarudi kwa boy wake na kuanza kulazimisha hilo swala wengine ndio wanaoa kishingo upande harusi ikishapita vurugu haziishi mjengoni!
 
Back
Top Bottom