Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Unapotafuta wa kukuzalishaWengi hawataki kuolewa siku hizi hivyo sio aibu kutoolewa hasa wasomi wa vyuo vikuu na wenye kazi
Wao watatafuta wa kuwapa mimba na kuzaa tu na haja yao ni mtoto basi hivyo hakuna aibu
Lakini pia tusisahau kuna jambo la Mungu kwani kuolewa ni kama rizki kutoka kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa ndugu yangu. Sijawaambia watu wabaki single..ndoa ni baraka ya ajabu. Ninachosema ni kuwa usiolewe kisa tu umri umeenda. Hivi unadhani ukipata mke ambaye alikubali umuoe kisa tu anaona umri umeenda utafurahia?Ndio maana unaona haiba umuhimu, embu fikiria kipindi ulo eji hizo,
Ni kawaida kwa binadamu kuchagua asilokuwa nalo
Wewe una ndoa unawachagulia wenzio usingo
Unacheka kama vile hujaolewa[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna pointmleta mada hajasema ni aibu ya aina gani aliomaanisha. ila nafikiri labda akiona wadogo zake wameolewa na yeye haolewi, na huko nyuma alishachagua sana waoaji na kuwakataa akitegemea mume mwenye anavovipenda yy! lazima aone aibu na majuto moyoni kimyakimya!
Na kwa nini yeye awe miongonu mwa waliokosa ndoa??Tatizo mnaingia kwenye ndoa kwa kulazisha na kukurupuka mwisho wa siku mnakuja kulalamika vitu ambavyo havina kichwa wala mguu.
Oa au olewa kwa wakati muafaka, pale ambapo unahitaji na umempata anayekupenda.
Mnaforce sana ndoa siku hizi, na mkishaoana hakuna lolote zaidi ya michepuko pande zote. Ndoa si ya kila mtu, na si lazima kila mtu aingie.
Na yaliowakuta kauli kama hizi walikuwa nazo sana
Aiseee nilikukoti vibayaHujanielewa ndugu yangu. Sijawaambia watu wabaki single..ndoa ni baraka ya ajabu. Ninachosema ni kuwa usiolewe kisa tu umri umeenda. Hivi unadhani ukipata mke ambaye alikubali umuoe kisa tu anaona umri umeenda utafurahia?
Mara nyingi wanakuwa hawajajiandaa kukabiliana na changamoto za ndoa, yeye akitaka sherehe ya harusi ili aonekane ameolewa na atakusumbua.
Umeniquote vibaya.
Pole mkuu naona jiwe limekuangukia.Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hajapata wa kumuoa basi si riziki yake. Unataka alazimishe hlf aolewe asitulie kwenye ndoa muanze kumsema. Binadamu hamna jema ht kidogo.Na kwa nini yeye awe miongonu mwa waliokosa ndoa??
Kwani kuolewa ndiyo mwisho wa maisha? Mtu ataolewa kwa muda aliopangiwa sio kwa kuhofia atasemwa kisa ana 30.Na yaliowakuta kauli kama hizi walikuwa nazo sana
Aibu ya kutokuolewa kwa wanawake inasababishwa na nini?Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Hivi ni muolewaji huyu kumbe? Nilijua muoji aje anioe mie nisione aibu![emoji125] [emoji125]Wewe uliolewa ukiwa na umri gani..?
Ebu tuanzie hapo kwanza....[emoji101]
Ndoa ni maisha na maisha hayana mwalimuKama hajapata wa kumuoa basi si riziki yake. Unataka alazimishe hlf aolewe asitulie kwenye ndoa muanze kumsema. Binadamu hamna jema ht kidogo.
Ukielewa nini hasa maana ya ndoa huwezi kukurupuka kuingia, bahati mbaya ni kwamba ukiwa hujaoa/hujaolewa huwezi kuona..ukishaingia ndio unakuta mambo mengi ambayo mwanzo hukuyajua na mbaya zaidi unashindwa kuyakabili.
Angalia malalamiko ya ndoa nyingi siku hizi, nyingi hazina amani na watu wanaishia kujuta kwanini aliingia, kumbe alikurupuka bila kujifunza.
Chukua muda kujifunza maana ya ndoa, changamoto na raha zake kabla hujaingia.
Wasichana waache kufata mkumbo..mtu anaolewa kesho kutwa leo anampa game ex wake unadhani kuna ndoa hapo.
Hii taasisi mnaichukulia juu juu sana. Tatizo ni hilo.
Ni kweli unachosema. Basi waolewe kwa mapenzi na si kwa pressure.Ndoa ni maisha na maisha hayana mwalimu
Aliyemfunda bibi halusi ni bibibaliyeachika miaka kadhaa iliyopita
Aliyemfunza bwana halusi ni babu mwenye wake watatu na anaishi peke yake
Chezea ndoa wewe, pasta anayehubiri neno la Mungu anaomba kibali cha kuoa tenaa
Mkuu......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi ni muolewaji huyu kumbe? Nilijua muoji aje anioe mie nisione aibu![emoji125] [emoji125]
Mwisho wa maisha ni kifo, mwanzo wa maisha ni kuzaliwa na katikati ya maisha ni ndoaKwani kuolewa ndiyo mwisho wa maisha? Mtu ataolewa kwa muda aliopangiwa sio kwa kuhofia atasemwa kisa ana 30.
Njiwe gizani.Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwisho wa maisha ni kifo, mwanzo wa maisha ni kuzaliwa na katikati ya maisha ni ndoa
Asikufiche mtu kila kitu cha katikati hua kitam mnoo, ndio maana hata mzizi mkuu wa ndoa uko katikati
Hivyo kila kusudio lako hapa duniani ni ndoa
" enendeni dunia mkaijaze nchi".
Sasa sijui wewe utaijaza nchi kwa vipodozi na mawigi ya kila aina??