[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]Ukifika hapo bila bila ujue uzee unakunyemelea na brand yako inaanza kupoteza soko. Hapo kuolewa ni majaliwa na ndiyo maana wengi katika age hiyo huwa hawabagui sana wanaume. Huwezi kusikia tena.. Oooh.. awe handsome,,, maji yakunde sijui shombe, mara mrefu 6.5ft etc etc... Ikifika 40 ndo kabisa hata 2.2ft anakubalika...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Usijal nitakuwa naku cc bas ili unioneSijawahi ona aisee. Nahisi hii ni comment ndefu ya kwako mimi kuiona.
Hee yamekuwa haya kakUnacheka kama vile hujaolewa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ha haa poaUsijal nitakuwa naku cc bas ili unione
Kaka Tembosa umeoa???Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mitazamo ya watu binafsiHuwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka
Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana kwenye taasisi hii muhimu sis darling, sixth sense imeshaniambia hivyo.Hahaa brod darling jambo la kheri kama hilo mbona ungelijua tu bana. 6th sense yako imeku-misslead leo lol
Haha kwamba "almost there" au? Ahsante brod darlin, ntawajoin tuKaribu sana kwenye taasisi hii muhimu sis darling, sixth sense imeshaniambia hivyo.
"Almost or already there", nataka kucheza rhumba sis darling, usinisahau tu[emoji12]Haha kwamba "almost there" au? Ahsante brod darlin, ntawajoin tu
Haha maybe/maybe not. Inshallah tuombe uzima, unaanzaje kukosa sasa lol"Almost or already there", nataka kucheza rhumba sis darling, usinisahau tu[emoji12]