Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Kuna shangazi yangu aliolewa akiwa na miaka 41, mpaka muda huu hajafanikiwa kupata mtoto sasa sijafahamu nini kimemkumba, yote 9......10..... alikuwa kwenye chuoni akisoma.
Chuo kipi miaka mingi hivi?
 
Ukifika hapo bila bila ujue uzee unakunyemelea na brand yako inaanza kupoteza soko. Hapo kuolewa ni majaliwa na ndiyo maana wengi katika age hiyo huwa hawabagui sana wanaume. Huwezi kusikia tena.. Oooh.. awe handsome,,, maji yakunde sijui shombe, mara mrefu 6.5ft etc etc... Ikifika 40 ndo kabisa hata 2.2ft anakubalika...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12]
 
Of course you have tried to put your point forward in a polite way. But nikuambie tu.

Not all women are cut for marriage. Even if we were created in equality a woman for one man.
 
Kuoa au kutokuolewa ni maamuzi binafsi. Ila kama unapenda kuoa au kuolewa na humpati Wa kufanana nawe usikae kimya muombe Mungu na utoke hadharani kutangaza nia uliyonayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, Mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age).
Baada ya hapo ni aibu kweli.
Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Kaka Tembosa umeoa???
 
Huwa kuna kitu sielewi kwani miaka 30 ina nini? Maana mnapenda sana kuwasema wadada walio na hiyo miaka

Ukiwa na miaka 30 ujaolewa kuna tatizo gani yaan huwa nawaza sielewi, yaani kisa umefika miaka 30 ujaolewa uanze kuona aibu?



Sent using Jamii Forums mobile app

Kujipa moyo tu hamna lolote jiwe gizani hilo
 
Back
Top Bottom