Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Kama huoni thamani ya mtoto katika ndoa huijui thamani yako aidha muwe na furaha ama bila furaha, huwezi pingana na rule of nature, walikuwepo mabingwa wa kukosoa rules of nature zaidi yako lakini ziliwazika na wakajutia maamuzi yao. Nakuombea ubadilike, fuata ushauri bora
hebu toa mfano tafadhali.walijutaje?
 
Wape kichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuwapa presha wanawake, ninyi ndio mnaoharibu mindset za wanawake kwa kuandika thread ka izi. Kila mtu hapa duniani ana wakati wake wa kuoa au kuolewa. Kama dada zako wanaolewa under 32 basi elewa pia wengine wakati wao sahihi wa kuolewa ni 34, 35, 36, 37, 38 n.k kama wewe umeolewa ukiwa 28 years usitake na wengine waolewe ka wewe.ukiishi kama wasemavyo watu au kwa kujilinganisha na watu utapata tabu sana hapa duniani, ishi wewe ka wewe na ujilinganishe wewe ka wewe. Ni bora uchelewe kuolewa na ukampata mume sahihi kuliko ukawahi kuolewa na ukawa umeingia choo cha kike utajutia sana maisha yako yote (walioingia kwenye ndoa tayari wanaelewa vizuri zaidi kuliko wale wachumba, wasichana na wavulana wanaweza wasielewe na wakapinga)
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka miss, mm naleta ombi kwako sahiv infact natangaza nia kabisa

I love u so much miss yaani ni kama siku zote nilikuwa naomba uje realize how much time z at the essence of diminishing point.

Na uzi huu umefika wakati mujarabu kabisa.

ombi langu ni ww unipe nafas japo kwenye stoo ya moyo wako ili as time goes najua utanikaribisha sebuleni baadae chumbani(kwenye moyo wako)[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mistari ya vina
 
Ni kweli sisi ni binadamu na hakuna binadamu mkamilifu.
ila wanawake mmezidi japo kuna wachache hawana shida.umbeya,majungu unafiki,kuongelea maisha ya watu,wivu,roho mbaya,kutesa watoto wa kambo...na mengine mengi
 
Kumbuka 45 yrs unaanza menopause
Huko mbali sana, kuna wengine menopause huwa inaanza kwenye mid thirties. Yaani by 40yrs kitu kime hit.
Ila haya maisha yamejaa majuto sana, yaani maringo yanaisha inabaki hasira ya kudumu.
 
Pia usisahau mkuu wanaume nao ni wachache.
Sio kweli. Ukisoma vizuri demographics utaona vizuri kabisa kuwa idadi ya wanaume na wanawake haitofautiani sana hata kwa zile nchi zilizokuwa zinapractice infanticide. Tatizo wanaume wanaotaka au kuwa tayari kuoa ni wachache kwa sababu ya socio-economic factors. Sasa wanawake wajifunze, tabia njema inalipa sana.
 
Why are women blamed for everyhting?
The list is endless...!
 

Attachments

  • F3CD1DEC-CFBB-483F-913D-06BDB6D829AC.jpeg
    F3CD1DEC-CFBB-483F-913D-06BDB6D829AC.jpeg
    175 KB · Views: 4
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.

Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Ila age nzuri ya kupata mke mzuri ni hii 30-32 kwangu mimi naona,mimi kuna madem wawili wapo kati 20-25.Nilisema kabisa naoa tena huyu mmoja (2014) nyumbani walikuwa wanajua nitaaoa kazingua kumbe alivyoenda kusoma Arusha akapata mtu mpya akanipiga chini,wapili nae mpaka marafiki zangu wakamjua kumbe kisiri siri bado ana banjuka na X wake.

Nina mwanagu nae kaanza na demu tokea sec kagharamikia wewe demu kapata field kwenye bank,meneja kamtongoza.Jamaa ana mwambia mwaka 2017 mimi nakuoa dem anaitikia tu,du kumbe meneja kampiga kanzu kawahi kutoa mahali.
Jamaa yangu alipagawa ikatubidi wana tuwe akina Chris Mauki,manake jamaa alipagawa alikonda kishenzi kitambi chote kilipotea.Alafu alivyo na bahati mbaya imemkuta mara mbili ila huyu wa pili alikuwa yupo chuo,watu wakampiga kanzu wa kaoa.Sasa habari za ndoa hataki kusikia.

Yaani sasa hivi nataka nijaribu ktk age hii 25-32.
 
Back
Top Bottom