sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Mwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume sasa iweje mwanamke asipoolewa anatupiwa lawama na kashfa za kila aina.Hapana mkuu.
Sio sahihi kusema maneno makali namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume sasa iweje mwanamke asipoolewa anatupiwa lawama na kashfa za kila aina.Hapana mkuu.
Sio sahihi kusema maneno makali namna hii.
on the other side ukiachana na hii maada ni kweli wanawake mna matatizoMwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume sasa iweje mwanamke asipoolewa anatupiwa lawama na kashfa za kila aina.
Unapenda hayo mambo?
Hivi rafiki wanawake pia huwa wanapenda threesome?
hebu toa mfano tafadhali.walijutaje?Kama huoni thamani ya mtoto katika ndoa huijui thamani yako aidha muwe na furaha ama bila furaha, huwezi pingana na rule of nature, walikuwepo mabingwa wa kukosoa rules of nature zaidi yako lakini ziliwazika na wakajutia maamuzi yao. Nakuombea ubadilike, fuata ushauri bora
Ni kweli sisi ni binadamu na hakuna binadamu mkamilifu.on the other side ukiachana na hii maada ni kweli wanawake mna matatizo
Acha kuwapa presha wanawake, ninyi ndio mnaoharibu mindset za wanawake kwa kuandika thread ka izi. Kila mtu hapa duniani ana wakati wake wa kuoa au kuolewa. Kama dada zako wanaolewa under 32 basi elewa pia wengine wakati wao sahihi wa kuolewa ni 34, 35, 36, 37, 38 n.k kama wewe umeolewa ukiwa 28 years usitake na wengine waolewe ka wewe.ukiishi kama wasemavyo watu au kwa kujilinganisha na watu utapata tabu sana hapa duniani, ishi wewe ka wewe na ujilinganishe wewe ka wewe. Ni bora uchelewe kuolewa na ukampata mume sahihi kuliko ukawahi kuolewa na ukawa umeingia choo cha kike utajutia sana maisha yako yote (walioingia kwenye ndoa tayari wanaelewa vizuri zaidi kuliko wale wachumba, wasichana na wavulana wanaweza wasielewe na wakapinga)
Mistari ya vinaFimbo ya mbali haiui nyoka miss, mm naleta ombi kwako sahiv infact natangaza nia kabisa
I love u so much miss yaani ni kama siku zote nilikuwa naomba uje realize how much time z at the essence of diminishing point.
Na uzi huu umefika wakati mujarabu kabisa.
ombi langu ni ww unipe nafas japo kwenye stoo ya moyo wako ili as time goes najua utanikaribisha sebuleni baadae chumbani(kwenye moyo wako)[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
ila wanawake mmezidi japo kuna wachache hawana shida.umbeya,majungu unafiki,kuongelea maisha ya watu,wivu,roho mbaya,kutesa watoto wa kambo...na mengine mengiNi kweli sisi ni binadamu na hakuna binadamu mkamilifu.
Huko mbali sana, kuna wengine menopause huwa inaanza kwenye mid thirties. Yaani by 40yrs kitu kime hit.Kumbuka 45 yrs unaanza menopause
Sio kweli. Ukisoma vizuri demographics utaona vizuri kabisa kuwa idadi ya wanaume na wanawake haitofautiani sana hata kwa zile nchi zilizokuwa zinapractice infanticide. Tatizo wanaume wanaotaka au kuwa tayari kuoa ni wachache kwa sababu ya socio-economic factors. Sasa wanawake wajifunze, tabia njema inalipa sana.Pia usisahau mkuu wanaume nao ni wachache.
Naamini nikikupata, utaacha tu.sanaaaa
Naamini nikikupata, utaacha tu.
Ila age nzuri ya kupata mke mzuri ni hii 30-32 kwangu mimi naona,mimi kuna madem wawili wapo kati 20-25.Nilisema kabisa naoa tena huyu mmoja (2014) nyumbani walikuwa wanajua nitaaoa kazingua kumbe alivyoenda kusoma Arusha akapata mtu mpya akanipiga chini,wapili nae mpaka marafiki zangu wakamjua kumbe kisiri siri bado ana banjuka na X wake.Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Yale yaleeee!
Ndio kina uchebe utapigwa vibao tu,huna say mana unafugwaThis is a very good question..... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]