Mwanamke usipoolewa ni aibu

Mwanamke usipoolewa ni aibu

Nyie ndio mnawapa pressure kwa maneno yenu yanayowadhihaki. Kuolewa kwa kulazimisha lazima ilete matatizo, km mtu hataki kuolewa muache ht km ana miaka 40 ndio maamuzi yake, kuliko aolewe aboronge na amtese mume.
Why mnawapa pressure wasichana?
Na kuna nini hasa huko kweye ndoa mpaka muwalazimishe kuingia?
Wanaume wanaongea tu,kukumbusha tu,, tatizo ni approach inayotumika. suala liko hivi.

heshima ya mwanaume ipo katika means anazotumia kuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake ya kujitegemea na hatua inayofuata heshima yake inatokana na jinsi anavyohudumia familia yake na hatua ya juu jinsi anavyohudumia jamii yake.

Heshima ya mwanamke ipo katika level ya kwanza kabisa ipo katika ustawi wa familia yake, kama hajaolewa heshima inatoka katika ustawi chanya (positive social well being) wa familia ya wazazi wake, akifika umri wa unaofaa kuolewa, heshima yake inatoka katika familia yake mwenyewe. halafu level inayofuata, jinsi anavyohudumia jamii yake.

Kwa hiyo the pressure is within, ila ni kwa wanaume na wanawake wanaojitambua.

Hata wanaume nao wana pressure hiyo. ila wanaume tunatwangana kimya kimya, na wengi hawajui jinsi wanaume wanavyohangaika kujenga heshima zao katika jamii, hata katika kupata spouse, vigezo ni hivyo hivyo vinatumiwa na wanawake kuwapima wanaume. vijana wadogo wanajua machungu wanayopitia kwenye kupata wenza kwa ajili ya mahusiano ya muda mrefu.

Lakini kingine, kwa wanawake Kuna biological clock ya uzazi ndio inayokimbiza hisia zao, umri unavyokwenda uzazi unapungua in terms of possibilities and uzazi Bora, ndio maana celebrities nchi zikizoendelea wanafreeze mayai Yao na wanayotumia baadae kwa teknolojia mbalimbali.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Sio wote duniani wapo hivyo ulivyo eleza
 
Ni ndotp ya kila mwanamke kuolewa wasikudanganye hao ambao hawajaolewa kuwa wanafurahia usingle

Sababu hana sifa za kuwa mke
Kama unafikiri ndoto ya kila mwanamke ni kuolewa basi kanisa katoliki lingefunga mashirika yake yote ya utawa maana wasingepata wanawake wa kuwapokea. Dunia yote haipo hivyo unavyo amini wewe
 
Back
Top Bottom