Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Hope ni wazima Wana Jf
Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x
wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa.
Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote mkoa X,sababu mume wa sister alikuwa vizuri kiuchumi ni tajiri alikuwa ana magari ya mizigo na mabasi ya abiria,gari za kutembelea zilikuwepo.nyumba ya maana.
Mume wa sister ilibidi amshauri sister aache kazi ya benki ili awe mama wa nyumbani sababu mume wake ni tajiri hakuna asichopata kwa mume wake...
Sister kwa kusikiliza ushauri wa mume wake akaacha kazi kweri.ni kosa Hilo alifanya.
Now maisha yamechange kabisa,utajiri wote umeisha magari yote wameuza Hadi ya kutembelea na Wana madeni kibao,hela zote zimeisha.watoto walikuwa wanasoma international School now wanasoma shule za kawaida.
Sister amehangaika kutafuta kazi kila sehemu amekosa,amekuwa ni mama wa nyumbani na maisha sio Kama zamani,uzuri wote umepotea mpaka huruma.na mume wake anajuta kumuachisha kazi mke wangu maisha yamekuwa magumu na watoto wanahitaji kusoma.
mwanamke mwenye elimu yako ndoa isikufanye uache ajira yako uliyoiangaikia kwa miaka mingi kisa kumridhisha mume wako.
Nb: mume wa sister ni shemeji😁
KATAA UTUMWA
naomba kuwasilishaa.....🙏