Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

Huyo tajili nae kilaza tu, kama wivu unamsumbua angemuajili mkewe.

Yaani unampa kitengo fulani kwenye biashara zako na sio kukaa tu nyumbani, kunenepeana na kupokea shahawa zako. Mwisho wa siku utamchoka na kumchukia mkeo.
 
Pole yake. Kwa kweli mshahara ni mume wa kwanza aisee. Bora imetokea amefirisika kuna wengine wanaachwa na wanaume wanaenda kuoa kwingine,,kisha unaanza kuombeleza maumivu ya kuachwa na mume na kuacha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshika mawili moja humponyoka...shika mume au shika kazi,mambo ya double double hakuna!!!
 
Jamaa ni mzembe, uwe na vitu vyote hivyo afu ushindwe kuvisimamia.? Tena vichwa viwili. Labda kama ulikwa wa uganga.
 
mleta mada haupo serious, Mke wa Tajiri anaazaje kufanya kazi ya kuajiriwa?
 
Back
Top Bottom