Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nahisi tunakuwa watumwa wote Mimi pia ni mwajiriwa pia namtumia kama njia aandae mazingira ya Mimi kujiajiri like side hustlesKwanini hutaki mkeo abaki na ajira yake.
Yeah hii ni Bora zaidiHuyo tajili nae kilaza tu, kama wivu unamsumbua angemuajili mkewe.
Yaani unampa kitengo fulani kwenye biashara zako na sio kukaa tu nyumbani, kunenepeana na kupokea shahawa zako. Mwisho wa siku utamchoka na kumchukia mkeo.
Hili nalo neno [emoji108]Nadhani wengi hamjajua dhana ya mwanamke kuacha kazi,even my wife will not work in any bank tafuta pesa hata ukope mahali mwanamke afanye zake biashara anayopenda na jitahidi umasimamie mtaji wake ukue awe na pesa zake
Kuna muda sister alikuwa anarud night utakuta wameend kwenye promotion or semina nje ya mji ikawa inaleta wivu flan kwa shemeji etuIla kazi ya bank nayo kwa mwanamke...mmh.....pasua kichwa
Mkuu ndo naondoka saiz🚶🚶Halafu wewe si uliaga jf kwamba hutorudi tena, imekuwaje sasa bado upo?
🚶🚶🚶Bado hujatoka tu jf au ulikuwa unatubeep.
Utajiri una Mambo mengi mkuuJamaa ni mzembe, uwe na vitu vyote hivyo afu ushindwe kuvisimamia.? Tena vichwa viwili. Labda kama ulikwa wa uganga.