I feel you are a nice lady lakin kuna namna umepunguka dear writer. Your friend entrusted you with her secrets yet umetumia secrets zake kuweka chumvi kwenye kidonda. Hajakulazimisha kurudiana na huyo ex wako ilikua ni conversation tu. Lakin umempaka chumvi kwenye kidonda amejisikiaje? Sawa ndoa yake ina shida lakini did gou have to do that? Where is the compassion?
Sijajua probably mna mazoea hayo lakin hata ni mm nisingejisikia vizuri kutumia tatizo langu kuget back at me.
And kuhusu topic hii, personally there is no easy life. Unaweza kuwa na hela na ukanywa k vant kila siku ulale namna ambavyo upweke unakuumiza ndani na unatamani somebody wa kuongea nae, kushare ideas na kulisongesha life. Lakin unaweza kuwa married na ukaexperience hell on earth. Yote kwa yote..tutafute kuliishi kusudi la Mungu either when single ama married.
Life without God's leading is a useless life. Kupitia uzi wako nazidi kujifunza kukaa mbali na the so called female friends, sisters, sexy mamaz and what not. Mara nyingi tunategeka hapa, tunayabwaga ya moyoni hence things do backfire. Nazidi kumsogelea karibu Kristo na nimuone kama bestie yangu nishare nae vya ndani kabisa. Maana kwake tu ndo hakutabackfire.
Lakin hii kuhadithiana hii, huwa inaturudi vibaya mno. Ukijiboast... jiboast juu ya neema na rehema za Mungu kwamba bila yeye huwezi accomplish chochote. Your bestfriend ni basi tu unamsaidia lakini kuna namna hayo maneno yanaweza kuwa yamemuumiza. Ndoa zina maji matamu na machungu.
Lakini "All things work together for good for those who believe in Christ." Lets bring out the best in each other rather than to be thorns to each other. Kuna namna hekima yako imepungua dear sister..I bliv deep down yo a good person. Itafute hekima na chagua maneno ya kuongea. If huna kizuri cha kusema au cha kuandika..just chill afu tafakari then rudi kuandika ama kuongea. Hope you will take this positively..lakin if you will feel offended then sorry miss..