Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Aisee mkuu ni una hekima hadi basi.
Nimefarijika sana.
Maneno yako yasomwe na wote wenye kujisikia kama mim hakika watapata faraja.

Wanaume tunawapenda ila most of them wanatuchukulia kama plastic toys na machoz yetu ni sawa na matone ya jasho tu kwao.

Yes maisha ni kutimiza kusud la Mungu na kuacha alama hata kama ni ndogo

Ukiona unafurahisha kila mtu ujue unatimiza malengo ya hao wanaofurahi

Ukikaa kwenye malengo yako ukakomaa kuyatimiza wengi watakuchuki....na ukubali kuitwa majina mabayamabaya
 
Jeep rubicon surely you said well, it isn't right to give all to someone afterward he dump you, issa very disappointing

I think this time focus on yourself being, love come when you are not looking for it, keep your head high . you deserve to be loved so open your heart for a new chapter.

You got this
 
I feel you are a nice lady lakin kuna namna umepunguka dear writer. Your friend entrusted you with her secrets yet umetumia secrets zake kuweka chumvi kwenye kidonda. Hajakulazimisha kurudiana na huyo ex wako ilikua ni conversation tu. Lakin umempaka chumvi kwenye kidonda amejisikiaje? Sawa ndoa yake ina shida lakini did gou have to do that? Where is the compassion?

Sijajua probably mna mazoea hayo lakin hata ni mm nisingejisikia vizuri kutumia tatizo langu kuget back at me.

And kuhusu topic hii, personally there is no easy life. Unaweza kuwa na hela na ukanywa k vant kila siku ulale namna ambavyo upweke unakuumiza ndani na unatamani somebody wa kuongea nae, kushare ideas na kulisongesha life. Lakin unaweza kuwa married na ukaexperience hell on earth. Yote kwa yote..tutafute kuliishi kusudi la Mungu either when single ama married.

Life without God's leading is a useless life. Kupitia uzi wako nazidi kujifunza kukaa mbali na the so called female friends, sisters, sexy mamaz and what not. Mara nyingi tunategeka hapa, tunayabwaga ya moyoni hence things do backfire. Nazidi kumsogelea karibu Kristo na nimuone kama bestie yangu nishare nae vya ndani kabisa. Maana kwake tu ndo hakutabackfire.

Lakin hii kuhadithiana hii, huwa inaturudi vibaya mno. Ukijiboast... jiboast juu ya neema na rehema za Mungu kwamba bila yeye huwezi accomplish chochote. Your bestfriend ni basi tu unamsaidia lakini kuna namna hayo maneno yanaweza kuwa yamemuumiza. Ndoa zina maji matamu na machungu.

Lakini "All things work together for good for those who believe in Christ." Lets bring out the best in each other rather than to be thorns to each other. Kuna namna hekima yako imepungua dear sister..I bliv deep down yo a good person. Itafute hekima na chagua maneno ya kuongea. If huna kizuri cha kusema au cha kuandika..just chill afu tafakari then rudi kuandika ama kuongea. Hope you will take this positively..lakin if you will feel offended then sorry miss..
 
Hivi ndoa zimekua ngumu namna hii mpaka mtu nataka kubadilishana?

Anyway, mimi hata ukiniambia unipe pesa zako zote na uhai wako sikupi Mume wangu kwa kweli, maana ana thamani kubwa kwangu kuliko kitu chochote na kamwe siwezi kuilinganisha thamani yake na mali au fedha

Kila la heri kwenye kutafuta
Hongera mshikilie sana mumeo.
Hiyo ndo aina ya ndoa wanawake wote tunaitaman.

Hata hivyo labda hujasoma uzi wote.Inawezekana vp kubadilishana mume dear
 
Ntamleta hapa aje ajibu hili swali😀
Akili za wanadamu wa Sasa hivi zipo very spoiled aseeeh..... Mke hajui what it takes to be a wife na mume hajui what it takes to be a husband....... Mimi kwa maisha ninayopitia najiuliza sana mwanamke tajiri naye anahitaji vipi mume maana hawa masikini wakipata kitu wanavyowatenda waume zao mpaka ndoa inakuwa ufala sana.

Women are very selfish creatures nakuambia 😭😭😭
 
Jeep rubicon surely you said well, it isn't right to give all to someone afterward he dump you, issa very disappointing

I think this time focus on yourself being, love come when you are not looking for it, keep your head high . you deserve to be loved so open your heart for a new chapter.

You got this
Palina dear hiki kizungu umekitoa kwa rasi simba au wapi... Mbona kizuri hivi 😁
 
I feel you are a nice lady lakin kuna namna umepunguka dear writer. Your friend entrusted you with her secrets yet umetumia secrets zake kuweka chumvi kwenye kidonda. Hajakulazimisha kurudiana na huyo ex wako ilikua ni conversation tu. Lakin umempaka chumvi kwenye kidonda amejisikiaje? Sawa ndoa yake ina shida lakini did gou have to do that? Where is the compassion?

Sijajua probably mna mazoea hayo lakin hata ni mm nisingejisikia vizuri kutumia tatizo langu kuget back at me.

And kuhusu topic hii, personally there is no easy life. Unaweza kuwa na hela na ukanywa k vant kila siku ulale namna ambavyo upweke unakuumiza ndani na unatamani somebody wa kuongea nae, kushare ideas na kulisongesha life. Lakin unaweza kuwa married na ukaexperience hell on earth. Yote kwa yote..tutafute kuliishi kusudi la Mungu either when single ama married.

Life without God's leading is a useless life. Kupitia uzi wako nazidi kujifunza kukaa mbali na the so called female friends, sisters, sexy mamaz and what not. Mara nyingi tunategeka hapa, tunayabwaga ya moyoni hence things do backfire. Nazidi kumsogelea karibu Kristo na nimuone kama bestie yangu nishare nae vya ndani kabisa. Maana kwake tu ndo hakutabackfire.

Lakin hii kuhadithiana hii, huwa inaturudi vibaya mno. Ukijiboast... jiboast juu ya neema na rehema za Mungu kwamba bila yeye huwezi accomplish chochote. Your bestfriend ni basi tu unamsaidia lakini kuna namna hayo maneno yanaweza kuwa yamemuumiza. Ndoa zina maji matamu na machungu.

Lakini "All things work together for good for those who believe in Christ." Lets bring out the best in each other rather than to be thorns to each other. Kuna namna hekima yako imepungua dear sister..I bliv deep down yo a good person. Itafute hekima na chagua maneno ya kuongea. If huna kizuri cha kusema au cha kuandika..just chill afu tafakari then rudi kuandika ama kuongea. Hope you will take this positively..lakin if you will feel offended then sorry miss..
Thank you and Im not offended.

Niliona ushaur wake utanifanya na mm niwe kwenye ndoa iso na furaha then niishie kuchepuka kama yeye kuitafuta furaha nje na hiyo sio ndoa ninayoitaka mm.

Again,thank you kwa maneno yako ya hekima
 
Akili za wanadamu wa Sasa hivi zipo very spoiled aseeeh..... Mke hajui what it takes to be a wife na mume hajui what it takes to be a husband....... Mimi kwa maisha ninayopitia najiuliza sana mwanamke tajiri naye anahitaji vipi mume maana hawa masikini wakipata kitu wanavyowatenda waume zao mpaka ndoa inakuwa ufala sana.

Women are very selfish creatures nakuambia 😭😭😭
Fear women
 
Back
Top Bottom