Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala

Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.

Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."

Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).

 
Duuh hii ya mwaka na vunja unoko!
 
Kenya wako ahead of time vituko haviishi
Si ndiyo hao walitaka kumsulubu yesu bandia mwakajana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…