KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
𤣠Bora wewe wapili mbona mimi wa tano na sina makasiriko unashida gani wewe...??Nimekuwa wa pili tena my loveš
𤣠Bora wewe wapili mbona mimi wa tano na sina makasiriko unashida gani wewe...??Nimekuwa wa pili tena my loveš
Nakudai vyotešš,.Nawewe utanidai hivyo vidude..?
Wewe mtoto wa nje ya ndoa?Yaani una mfumania halafu bado ana leta dharau za kishenzi?, aisee !
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Mh! usinidai baby fanya yaishe tu utapewa vyengine ukienda kwa bwana..šNakudai vyotešš,.
Venye najitahidi kujitunza halafu tu eti divorce nyo-nyo-nyo,.
Nitawaroga ukoo mzima,. Hapa mpaka kifo kitutenganisheā š
Mbona we hukusubiri vipya vya huko kwa bwana!šMh! usinidai baby fanya yaishe tu utapewa vyengine ukienda kwa bwana..š
mjomba tutakupoteza š„ŗš„ŗNimekuwa wa pili tena my loveš
Haha! Wewe hakuna hata haja ya kukuwahi ni tumeshachelewa!, yafaa tukukamate ukawe mgeni mfawidhi mirembe!.Nataka Rebeca 83 awe wangu peke yangu.!
Lovie punguza ukali basi sikupi talaka usije ukanidai vidude potevu..š¤£Mbona we hukusubiri vipya vya huko kwa bwana!š
Vipi wewe mumeo yupo?Wewe mtoto wa nje ya ndoa?
Uncle kumbe hutaki nipende, unataka nife kwa upwekešmjomba tutakupoteza š„ŗš„ŗ
MwambaMwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala
Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.
Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."
Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).
View attachment 3333936
Haya ngoja nikumbembeleze basi usikasirike baby...huyu ngoja nimpige kibuti ubaki peke yako lol ššššššššššNimekuwa wa pili tena my loveš
Sasa nimefurahi, niwe peke yangu nile bila kusumbuliwa....š šHaya ngoja nikumbembeleze basi usikasirike baby...huyu ngoja nimpige kibuti ubaki peke yako lol šššššššššš
Mmeanza...Haha! Wewe hakuna hata haja ya kukuwahi ni tumeshachelewa!, yafaa tukukamate ukawe mgeni mfawidhi mirembe!.
Hivyo vitu vya kwako peke yako vilisha expire kitambo!, kwa heshima yako tulia kwenye nafasi yako kila mmoja atafikiwa kwa namba yake.
Tumalize baby letu la nguvu...š¤£Mmeanza...
Na mimi nimefurahi kukuona honey....Sasa nimefurahi, niwe peke yangu nile bila kusumbuliwa....š š
Nimefurahi kukuona mrembo!!