Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala

Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.

Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."

Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).

View attachment 3333936
 
da!! KENYA kuna mambo!!!
 
Ushahidi anao kuwa alikuwa bikira.?Na kuwa aliyembikiri ni mumewe?
Ana ushahidi gani kuwa alipomuoa maziwa yalikuwa hayajalala?
Mh!!!! Sasa hapo ushahidi gani wakati mhusika ndie yeye!!!!
Hapo ni Mme wake tu kukataa
 
Kama jamaa ndo alimbandua, amlipe ka fidia jameni. Mke bikra siku hizi hakuna jameni. 😁
Wengi km zimeshasoma.
 
Hata aliyeoa bikra..alioa kicheche na Malaya...kufikia hatua ya kujirekodi ukitinduliwa NI zaidi ya umalaya
 
Back
Top Bottom