Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

Muoa bikra nae kagongewa!!aiseh!
20250514_203115.jpg
 
Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala

Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.

Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."

Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).

View attachment 3333936
Mahusiano is just bull shit
 
Mfumo dume ndo mfumo mzuriii 💪💪💪🫵

Usijibu comment yangu kama hujaielewa
 
Pumbaavu mbona simple kabisa. Apelekwe mombassa pale anapigwa shabu kama zote bikira inarudi chap tu. Kuhusu matiti hata Dar wanaweza kuyafanya yawe saa 6
 
😹😹😹 Haya wale watetea haki za bikra mko wapi?? Mwenzenu kachapiwa huku kapanic anataka kuvunja ndoa..!! 🤣

Ila wakenya vijiti wanavyotumia vikali sana..!!
 
Back
Top Bottom