Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

Nataka Rebeca 83 awe wangu peke yangu.!
Haha! Wewe hakuna hata haja ya kukuwahi ni tumeshachelewa!, yafaa tukukamate ukawe mgeni mfawidhi mirembe!.
Hivyo vitu vya kwako peke yako vilisha expire kitambo!, kwa heshima yako tulia kwenye nafasi yako kila mmoja atafikiwa kwa namba yake.
 
Mwamba
 
Nimekuwa wa pili tena my love😭
Haya ngoja nikumbembeleze basi usikasirike baby...huyu ngoja nimpige kibuti ubaki peke yako lol πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹
 
Sasa nimefurahi, niwe peke yangu nile bila kusumbuliwa....πŸ˜…πŸ˜…

Nimefurahi kukuona mrembo!!
 
Haha! Wewe hakuna hata haja ya kukuwahi ni tumeshachelewa!, yafaa tukukamate ukawe mgeni mfawidhi mirembe!.
Hivyo vitu vya kwako peke yako vilisha expire kitambo!, kwa heshima yako tulia kwenye nafasi yako kila mmoja atafikiwa kwa namba yake.
Mmeanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…