kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 2,359
- 2,789
Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala
Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.
Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."
Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).
View attachment 3333936
da!! KENYA kuna mambo!!!Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala
Pia ameomba irudishwe bikra yake kama ilivyokuwa kabla ya ndoa yao ndipo atasaini nyaraka za Talaka kuhusu kuachana.
Mwanamke huyo anadai kuwa hajatendewa haki kwani hata usichana wake uliharibiwa na Mumewe hivyo anadai urudishwe kwanza."
Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).
View attachment 3333936
OA BIKRA.Kwa Upande wa Mume Amesema Sababu iliyopelekea Kutaka Kumpa Talaka Mkewe alimfumania na Mwanaume mwingine kwa ushahidi wa picha na video katika simu ya mkewe (Alijirekodi).
Rebeca 83Hii kali sana lol...wakenya sometimes km wavuta Bangi vile..sijui mirungi
Matiti kulala ni pamoja na suala umriHizo ndala kazipata kwa michepuko huko
Mh!!!! Sasa hapo ushahidi gani wakati mhusika ndie yeye!!!!Ushahidi anao kuwa alikuwa bikira.?Na kuwa aliyembikiri ni mumewe?
Ana ushahidi gani kuwa alipomuoa maziwa yalikuwa hayajalala?