The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Tabora kuna waarabu wengi masikiniNimekusoma mkuu lakini naweza pata maeneo wanayoweza patikana bila kijali natoka ukoo gani au nina uwezo kiasi gani
hasa igunga
Dar nenda Ilala...tafuta nyumba hamia hapo
au nenda Zenji kabisa....
Ila waarabu hata wakiwa masikini bado sio gia ya kuwapata...
wanajali sana unatoka ukoo upi
ndo maana wanaoana binamu kwa binamu sana