Mwanamke wa kiarabu

Mwanamke wa kiarabu

Watu wanataka kuionja rangi ya mtume so msaada wako unahitajika kuwasogezea wenzio
Kaka mbona una anza na kejeli ?!! hapa sipo pakuchafuana, tafdhali njoo kwa wema na uondoke na Heshima!!
au ushazoea kutusiwa? Kuwa mstaarabu kama WAARABU!!...
 
Wanawake wakiarabu wapo usanda shinyanga ila wanamachacha uje ukijua hilo karibu
 
Machacha(namaanisha visigino vimechanika kwa sababu yakulima majaruba ya mpunga anaetaka ajeakijua hilo )
 
Wewe huyo umempata sasa kujieleza ni kazi! Ndugu mteja kifurushi chako kinakaribia kuisha. Mwenyewe yuko hapa hapa afu unaanza leta story za yeye kukupeleka uarabuni, kwani amekuwa fly Emirates?
Nimeisha muelewa hizo ni mbwembwe tu
 
Jamaa kapata aliyemtaka sasa anachachawa balaa aeiou kibao... huyu jamaa siku ndio kakubaliwa kula zigo mshukushu wake nadhani hauta simama kwa kiwewe....

Ilishanitokea Mtoto wa Kiarabu nilikuwa namvizia and then naawambia rafiki zangu kuwa Demu wangu yule... ahmad kuna mmoja akamfikishia salam na jumbe nazowaambia akanitokea domo likagoma lenyewe kuongea demu akaona huyu vepe.. nikala matusi na mifyonyo na alipoondoka mdomo ukarejea sawa sawa... Dah Utoto acha kabisa
 
Nina Rafiki yangu...Mwarabu wake kaachana naye anahisi ni Jini...vipi nikuunganishie??
 
Back
Top Bottom