Mwanamke wa Kichaga.

Mwanamke wa Kichaga.

kimweri Jr

Senior Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
131
Reaction score
41
Jamani wanajamvi naweza kuwa mgeni wa jambo hili: ni zipi sifa halisi za wakidada wa kichaga na ukitaka kuoa ni taratibu gani za kufuata mpaka kutoa mahali? Msaada jamani wanajamvi.
 
kimweri,&mchaga.
Great combination.
Wote mnatumia base moja "ubahili"
Asprin atakuja kukupa mchakato
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa
leo naona umegusa ikulu
ngoja vijana wangu watakuja kukupa hayo ya huko kwetu.
 
Back
Top Bottom