kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 41
Jamani wanajamvi naweza kuwa mgeni wa jambo hili: ni zipi sifa halisi za wakidada wa kichaga na ukitaka kuoa ni taratibu gani za kufuata mpaka kutoa mahali? Msaada jamani wanajamvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na jamaa akisha oa, aka-accumulate wealthy.......!!!????
mapenzi yanahamia kwenye accumulated wealth
Ili accumulated wealth isitapanywe hovyo kuwe na nidhamu ya matumizi ya accumulated wealth...
mapenzi yanahamia kwenye accumulated wealth
Aku! Mi mmakonde bana.... Kwani Mmankonde chi n'tu?
ha ha ha vipi una ramani usoni ili usipotee?
Hiki ni kipindi cha digitali bebyto...
and the husband is assasinated kwa majambazi wa kukodi au sumu.
tedo and we know how to manage the accumulated wealthIli accumulated wealth isitapanywe hovyo kuwe na nidhamu ya matumizi ya accumulated wealth...
babu ujue nimekumic