Mwanamke wa Kislam akiwa eda anaruhusiwa kukumbatiwa hadharani?

Mwanamke wa Kislam akiwa eda anaruhusiwa kukumbatiwa hadharani?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

FB_IMG_1789136148044.jpg
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇
ok. :1Head:
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇
Unajua urafiki wao upoje Hadi ulalamike?
Huyu ni fisadi kwao na si mara ya Kwanza kuonekana akiwa na Samia ikulu. Cha ajabu nini?
 
Hii siyo nchi ya kiislamu, Mambo ya EDA yaachwe kwa wenye dini husika,Uislamu unataka ikisikika adhana watu waende msikitini kuswali, Mbona kuna shughuli nyingi za serikali zimefanyika muda wa adhana na hukuwai Kuja kuandika huku kama Mh Rais hajavunja shughuli na kwenda kuswali? Au unadhani kwenye uislamu EDA ndiyo kitu muhimu kuliko mambo yote?
 
Nikikumbuka ayatolah Khamenei amezikwa baada ya zaidi ya miezi mitatu
Nahitimisha kwa kusema Kuwa dini ni utashi wa mtu tuache kudanganyana
Samweli 14:2, ambapo mjane anatajwa kuwa amevaa mavazi ya maombolezo na kuonekana kama mwanamke aliyekuwa akiomboleza kwa muda mrefu.
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

View attachment 3668563
Waislamu wenyewe wanajua sana kuwa uislamu ni upuuzi na upumbavu ndiyo maana wanautumia dhidi ya wasio waislamu ....kama kule zanzibar .
 
Back
Top Bottom