Mwanamke wa Kislam akiwa eda anaruhusiwa kukumbatiwa hadharani?

Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

View attachment 3668563

Eda na mambo ya dini ni kwa ninyi walala hoi tu. Ukiwa na pesa na madaraka eda ni kitu cha kawaida tu.
Hata huko uarabuni sheria za dini zilipindishwa ili Cristiano Ronaldo ac

Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

View attachment 3668563
Sema huyu jamaa huwa anaona ikulu kama sebuleni kwake hivi.
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

View attachment 3668563

Kwa Mujibu wa Bakwata Ndiyo. Na anaruhusiwa kuolewa tena na Mume mwingine...Jimbo lipo wazi mkuu Fanya mambo.
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
👇

View attachment 3668563

Hii kweli inahitaji majibu. Tena ni KAFIRI.

Pia hizi safari mbona kama zinapingana na dhumuni la hiyo Eda? Mashehe watufafanulie hili.
 
Msiba huu viongozi wa kiislam WATAFAFAFANUA SANA.Hawana tofauti na Msigwa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom