Mwanamke wa Kislam akiwa eda anaruhusiwa kukumbatiwa hadharani?


Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
πŸ‘‡

View attachment 3668563
Sema huyu jamaa huwa anaona ikulu kama sebuleni kwake hivi.
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
πŸ‘‡

View attachment 3668563

Kwa Mujibu wa Bakwata Ndiyo. Na anaruhusiwa kuolewa tena na Mume mwingine...Jimbo lipo wazi mkuu Fanya mambo.
 
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.

Je hii ni sahihi?
πŸ‘‡

View attachment 3668563

Hii kweli inahitaji majibu. Tena ni KAFIRI.

Pia hizi safari mbona kama zinapingana na dhumuni la hiyo Eda? Mashehe watufafanulie hili.
 
Msiba huu viongozi wa kiislam WATAFAFAFANUA SANA.Hawana tofauti na Msigwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…