Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Daaah! Mkuu hapo hamna mwanamke kabisa yani. Yaani mwanamke ana wanaume wengi halafu bado anataka kurudiana na wote. Sasa mbona wanawake sio watu wa namna hiyo, wanawake hawawezagi kupenda mwanaume zaidi ya mmoja hapo labda hao wengine walikuwa wanachunwa tu.
 
Kwa kiasi flani mi ni mwenyeji wa Tanga, mi naona umezungumzia uzaifu wako zaidi kwa wanawake.

not everyone is willing to take the risk!
Labda mimi ni dhaifu mkuu lakini vipi kuhusu shuhuda za wadau wengine ?
 
Hii sio psychological state, huu ni ushuhuda wa nilivonasa bila kupenda na niliyopatiwa na lile toto.
 
😂😂😂Nenda kawape hata Hi tu mkuu
 
😂Hiyo ni kweli. Maana mi mwenyewe nimekuwa mgeni wa wanawake kwa sababu yake. Nimemwambia nimekuwa na wanawake kadhaa nimewazoea ila wewe ni MPYA kabisaa kwangu sijapata ona.
 
Hiyo mitego ndio kutongozwa kwenyewe, acha kutudanganya eti atakupata bila kukutongoza. Halafu wewe ndio umekuwa mlaini kwake usitusingizie wanaume wote.
Nilimaanisha hatokwambia chochote kama sisi tunavyofanya ila we mwenyewe utajiweka. Isikukute nawe utakuja hapa.
 
Mambo gani ambayo uliyaona ambayo yalikufanya usitake kuoa toto la pwani hasa tanga ? Maana mi najiuliza nilikuwa wapi siku zote hizo.
 
Nilimaanisha hatokwambia chochote kama sisi tunavyofanya ila we mwenyewe utajiweka. Isikukute nawe utakuja hapa.
Mbna kama unataka tufanane? Ni lazima mimi kuja Tanga? Inawezekana wewe ndio huyo mzee wa kwenye stori yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…