ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Mashkolo mageni tanga tumefanyaje tena dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashkolo mageni tanga tumefanyaje tena dada
Itabidi ulete sampuli za ubongo wako kwa mkemia mkuu wa serikali ili tujue kama umeshambuliwa na wadudu[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh, ni ulimbukeni wa mapenzi unakusumbua tu. Kwakuwa ulishasikia tanga-mapenzi basi umejipeleka kichwa kichwa unakuja kutoa shuhuda za hovyo apa.Kwa kweli kwa jinsi nilivonasa nashindwa hata kuwa makini ila ntajitahidi mkuu
Hahahahaaa. LolMashkolo mageni tanga tumefanyaje tena dada
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu ukishanasa kwa toto la kitanga kujinasua kazi. Mi siwezi kupitisha siku bila kumwona na ye anajua hilo.
Mkuu hebu tusimulie huko chumbani unapewa nini ambacho watu wa bara hawakupiIla huyo alikutana na balaa tupu. Mi sibebwi mgongoni ila sasa hilo balaa la chumbani.
Hebu leteni hizo takwimu zinazothibitisha kuwa wanaachika"Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika."
Hao wanawake ni malaya mbwa na hawajui kukataa...hivyo jua mpo kibao hapo na ukiwa nao hutajua kama haupo peke yako kwa anayokufanyia ila ukimchunguza ni mchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja hili tanange tuone mwishoHahahahaaa. Lol
😅Hebu leteni hizo takwimu zinazothibitisha kuwa wanaachika
Uliogopa bure mbona hiyo ndo short cut ya mbeya bromimi niliwai kukamatwa na mtoto wa kitanga ndani ya saare tanga.
nimekuja kushtuka kupata akili nishakula mpaka nauli.
nikaomba lift kwenye fuso imebeba nazi kuja dar.
astakafilulaaa wee !!!!!nilikuwa na safari ya mbeya moyo ukaiambia akili "pitia short cut ya tanga ukampe hai mariam mjata mtoto wa kitanga akupe raha kisha uondoke"
akili yangu ikakataa katakata hakuna short cut ya kwenda mbeya uzungukie tanga bali ni nyege tu na mahaba ya yule binti mtanga.
nikanyoosha one way mpaka mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliogopa bure mbona hiyo ndo short cut ya mbeya bro
Ila unachosema kinaweza kuwa na ukweli maana ananitendea vizuri sana mpaka sitaki kuamini kuwa siko peke yangu."Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika."
Hao wanawake ni malaya mbwa na hawajui kukataa...hivyo jua mpo kibao hapo na ukiwa nao hutajua kama haupo peke yako kwa anayokufanyia ila ukimchunguza ni mchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza wewe ulishawai kuwa na mwanamke wa kitanga ile tanga asilia achana na waliokulia Dar ? Maana labda huelewi nnachozungumza kwa kuwa huna experience nao.Ahhh, ni ulimbukeni wa mapenzi unakusumbua tu. Kwakuwa ulishasikia tanga-mapenzi basi umejipeleka kichwa kichwa unakuja kutoa shuhuda za hovyo apa.
kama hujaelewa soma comments.
Hawa nao wapo kama wachagga tu ?Ukiona umekamatwa ujue nawewe pia umependa lakini pia kuna kitu unachomfukoni kama hauna hawawezi kukukamata nawala huwezi kuwapata
Niliwai kuishi Dar es salaam, mtaa mmoja unaitwa Azimio Tandika. Kwa kweli nimekutana na wanawake kadhaa wa tanga(watu wazima 45 - 60 ) ambao walikuwa wanalea watoto wenyewe. Nyakati fulani unaeweza usiwaone watoto wao ukiuliza utaambiwa wamekwenda kwa baba zao.Hebu leteni hizo takwimu zinazothibitisha kuwa wanaachika