Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Kuna jamaa yngu alilipata moja hivi shankupe la hapo migo anakuambia yapo vema sana kwa bedi yaani ni balaa. ila sasa mizinga ikawa sio ya kitoto wakikutana tu anataka ashushe lite kwanza kama tatu nne hivi ndo muanze maongezi mwenyewe anadai eti anapooza koo duu jamaa na senti zake za ngama alishtuka akambwagia mazima na kumblock kulia na kushoto. Manzi akahaha sana kumrudisha jamaa lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa mizinga hiyo ni tabiabya mtu kiukweli maana mie huyu wangu hana mizinga. Japo nami huwa nampa sana tu.
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyo alikutana na balaa tupu. Mi sibebwi mgongoni ila sasa hilo balaa la chumbani.
 
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Mbona sijatelekeza familia?
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom