Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Mzigua 90
 
Kuna jamaa yngu alilipata moja hivi shankupe la hapo migo anakuambia yapo vema sana kwa bedi yaani ni balaa. ila sasa mizinga ikawa sio ya kitoto wakikutana tu anataka ashushe lite kwanza kama tatu nne hivi ndo muanze maongezi mwenyewe anadai eti anapooza koo duu jamaa na senti zake za ngama alishtuka akambwagia mazima na kumblock kulia na kushoto. Manzi akahaha sana kumrudisha jamaa lakini wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jamaa yangu alipata demu wa kitanga miaka nyuma. Ndani ya wiki moja aliuza shamba la baba yake likiwa na mahindi yamepandwa yana mbelewele hata hakusubiri kuvuna. Baadae tunamuuliza kama aliwekewa ndumba jibu alilokuwa anatoa ni "nyie hamjui tu"...Baadae akasimulia kiwa alikuwa anabebwa mgongoni huku 'double zero' zinachezewa kwa mikono anapelekwa kuogeshwa kwenye maji ya uvuguvugu yaliwekwa iliki. Anasema mpaka kesho harudi tena Tanga maana anaogopa yatamkuta tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Hadi Basi yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutekwa akili kijinga hivyo wanawake wa Tanga si kitu wana mapenzi ya kwd ambayo hayana tofauti na haya ya Watoto shombeshombe wa Tabora. #BahariaMzoefu.

5/5
Ina maana mapenzi yao si ya kweli ?
 
Tafuta wawili au watatu hapo hapo TANGA MJINI
2009 nakumbuka one week nilitafuna PISI tatu ZA TANGA NYEUPE PEEEE
NILienda kufuata cheti Cha advance ili nikaanze chuo
1.nilimwahid Nampa ajira KAMPUNI ya tigo
Alivyokuja hotel akaambulia tisheti ya tigo
ALINIKUTA BA VIPEPERUSHI KIBAO VYA KUSAJILI LINE NA TISHET PC MBILI
2.Nilimwambia aje BANDARI akaacha barua yake na passport size sita kesho yake nikamtafuna
3.ALITAKA SIMU NIKAMWAMURU AKUJE HOTEL,NIKALA.NIKAMWAMBIA KESHO YAKE AJE TWENDE TUKANUNUE SIMU
,KESHO NIKASEPA BARA
Yaani we ulichofanya ni kuwala kwa tamaa zao
 
Kuna mmoja huyo umbo lake tu zuri unaweza ombea hata zamana!
Kuna siku alinisogelea kenge Mimi aisee lile jicho lake duh! Nililihimili lkn chamoto nilikiona!.. ukisikia mtoto jicho remburembu ndo Lile! Linatosha kabisa kukuambia mimi ni hodari wa mapenzi jiongeze Basi😅😅
Jicho lile silisahau ila kenge nililiacha lipite mwana kwenda maana ningebaki mifupa kama ningenasa pale.. Ni kweli tanga Kuna la ziada.

Mi hapa nilipo sielewi kitu
 
Back
Top Bottom