Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 757
[emoji23][emoji23][emoji23] bro ingekuwa kuna kuonjeshana ningekwambia kaonje pale.Sasa mkuu wamasai wanajua nini zaidi ya kufuga ng'ombe ? Lengo langu sio ku-crush point yako ila wamasai mkuu uko mbali sana.
Flavour na watoto wa kitanga kawaida tu. Labda kama ni zamani maana nowdays damu mchanganyiko sana.
Sent using Jamii Forums mobile app