Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.

CC : mzigua Sky Eclat Shunie....

Jr[emoji769]
 
Na hao wanaobisha kua hawawezi kufanywa mazoba imekaaje hii mkuu,!

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Habari za jioni.

Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga.

Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila hata kukutongoza. Na hela utampa hata asipokuomba. Yamenikuta. Ile mitego aloniwekea nilinasa kilaini sana licha ya kuwa na msimamo. Hapa unapoona nimeshamlipia na kodi japo hajaniomba.

Ila sasa ninachowaza kwanini huwa wnaachika? Maana yasemekana ndo wanaoongoza kuachika. Najiuliza hivyo kwa sababu huyu wangu mie (Msambaa, mweupeee) sitaki hata kumuacha maana nakimata nimekamatika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa epuka urafiki na mwanamke wa Kitanga kama una familia maana utajikuta tu unaipuuza familia yako na mkeo ataanza kupata shida. Hawa watu utasema wana PHD ya utundu.
Hizo Imani tu.

Kila mtu na hisia zake. Ikiwa kila mtu atakuja na shuhuda zake hapa basi binafsi nitasifia "wamasai". Tusilazimishane[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi niliwai kukamatwa na mtoto wa kitanga ndani ya saare tanga.
nimekuja kushtuka kupata akili nishakula mpaka nauli.
nikaomba lift kwenye fuso imebeba nazi kuja dar.

astakafilulaaa wee !!!!!nilikuwa na safari ya mbeya moyo ukaiambia akili "pitia short cut ya tanga ukampe hai mariam mjata mtoto wa kitanga akupe raha kisha uondoke"
akili yangu ikakataa katakata hakuna short cut ya kwenda mbeya uzungukie tanga bali ni nyege tu na mahaba ya yule binti mtanga.
nikanyoosha one way mpaka mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Sahare sio Saare ... Karibu nipo hapa magorofa ya uhamiaji Kama unaenda Popatlal pembeni ya kiwanda cha mbolea
 
Back
Top Bottom