Mwanamke wa miaka 70 ajaliwa kupata watoto mapacha

Mwanamke wa miaka 70 ajaliwa kupata watoto mapacha

Nina miaka mingi sasa sijaona mwanamke mtu mzima ana mimba kama zamani, naona mabinti tu
 
In vitro fertilisation (IVF) is one of several techniques available to help people with fertility problems have a baby. During IVF, an egg is removed from the woman's ovaries and fertilised with sperm in a laboratory. The fertilised egg, called an embryo, is then returned to the woman's womb to grow and develop.
 
eti mlifundishwa huko mwanamke akifikisha miaka 45 anapata shida za kupata mimba eeh?

Mwalimu wangu wa Biology.. kiko wapi sasa..
Huyu mama kapandikiziwa mbegu ukweli ulivyo kuanzia miaka 40 na kuendelea mwanamke aliekoma siku zake ni ngumu kubeba mimba wengi wao ukoma kuanzia miaka hiyo
 
Huyu mama kapandikiziwa mbegu ukweli ulivyo kuanzia miaka 40 na kuendelea mwanamke aliekoma siku zake ni ngumu kubeba mimba wengi wao ukoma kuanzia miaka hiyo
aliyekufundisha huu ujinga alikwambia mimba inaingia kwa njia moja tu ?
 
Huyo ni mpumbavu, anakuja tesa hao watoto
 
Back
Top Bottom