kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Umeoa?kwasababu hutak kufahamu Wala kuona mbali. Komalia hapo hapo.
Ndio haswaaaa namuhudumia 100% kama wewe hauhudumiwi pole na ukome ndio matunda ya kua dume jike hauna flavour ya uanamke na mwanaume haoni sababu ya kuudumia janamke ngangari ngi ngi ngi la nini sasa hilo.wewe unawezaje kujua kusudi la mwanamke ambaye hukumuumba? Tuwe na uhalisia, wewe unamuhudumia mkeo 100%? km jibu ni ndiyo basi Uzi huu haukuhusu.
Mtaolewa siku mbili na kuachwa wasimbe kama tabia zenu ndo hizoWaambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi 😂😂
acha kuolewa zeeka hivyo hivyo kwa kugongwa mageton then unaachwa kisha mimba hatimae single mother.Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Wewe hufikirii siku akifa yeye ? Au kufa tunakufa sisi tu Wanaume ?fikiria siku ukakufwa zako, afu mkeo mama wa nyumbani na watoto 5, atawahudumia vipi? ndugu acheni wake zenu wapambane km mnavyo pambana
Nimeipenda sana hii.Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.
mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.
3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.
Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.
4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.
Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Hata Kajala wa Harmonize nae ana ndoto yake anataka kuifanikisha na atakayelia mwishowe ni Kajala Maana Harmonize Hana shida hata pesa ikiishaWanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao. [emoji1545]
But yet u wana get married to one🤣🤣🤣🤣🤣Kwani kuna siku wanaume mmewahi kuwa na sababu za msingi za kuwa na michepuko? Hata mfanyiwe yote ulimwenguni hapa mkiamua kutoka nje mnatoka.
Na mwanamme mwenye akili abe e hii point. Very true yaani mie ukinipea mbususu na ukatulia zako ndani unanipikia wali nazi ndizi nazi na kuniosha mbupuz nitoke nje kufuata nini.Nishakuambia dada yangu wewe unapenda mwanaume ambaye ni malaya by nature. Mwanamme anayejielewa na mwenye tabia nzuri ukimtreat vizuri hawezi kuangaika na wanawake wengine
Sii usiolewe tuu kwani shida ipo wapi?Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Mambk ya kupangiana ratiba ya kula mbususu ni ujinga wa wanawake wengi siku hizi. Ah wacha tukatombeee malaya tuu no stress anagalau hao wanajielewa wanataka niniNaongezea hapo
Ndoa zilikuwepo zamani tu ila kwa kizazi cha sasa unaoa ili iweje wanawake wenyewe ndo hawa wa "haki sawa"?!
Siku akijiskia kukupa anakupa asipojiskia hata mwaka hakupi utaishia kuona tako tu kwenye nguo na ukithubutu kumlazimisha anakupeleka polisi kwa kosa la ubakaji
Mseme mwanaume wako pekee basi, wengine hatuhusiki hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hapo sasa wanapenda kweli kupelekesha wanawake
Nguvu ya mbususu itakua imemuelemeaNmesikitika Sana,
Eti mshana nae Ni miongon mwao
simp kutoka IkwiririSimp 100% [emoji706][emoji706][emoji706]
...ni sahihi kimtazamo ila jua saikolojia ya mwanadamu hasa mwanamke uhangaikia na ambacho hana, akiwa nacho huwa haoni thamani yake hadi anapokipoteza ndo hutambua thamani yake. Wengi kabla ya kupata heshima ya ndoa walikuwa ni wanawake wazuri sana na watiifu kwa waume zao hata pamoja na kuishi nyumba moja kwa miaka ila baada tu ya kupata heshima ya ndoa waliacha kujitaabisha sababu walichokuwa hawana(Ndoa) wameshakipata.Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Umemaliza kila kitu mkuu.Wanaume wenzangu naomba mumsamehe mtoa mada. Bandiko limeandikwa kwa lengo la kuwin attention kwa hawa akina dada wa JF wamwagike PM awale kimasihara. Wenyewe nadhani mnashuhudia wanavyomwagika ktk huu uzi. Tumuache kijana wetu pengine hajala ile kitu mda mrefu, soon ataleta kisa cha kumla tunda kimasihara mdada wa JF baada ya kufuatwa PM alivyoanzisha uzi wa kutetea 50/50! Yajayo yanafurahisha [emoji2].
Practically hakuna ndoa inayoweza kudumu kati ya mke asiyemuheshimu mume kwa kuendekeza democracy. Hiyo ni dunia nzima, iwe kwa wazungu au kwetu sisi waafrica. Kuna social norms zipo naturally Mungu aliziweka hazibadilishwi na nyakati wala uchumi wa watu husika moja wapo ndio hiyo wajibu wa mwanamke na mwanaume ktk ndoa. Hapo mambo ya haki sawa hayapo na ndio maana mwanamke ANAOLEWA na mwanaume ANAOA.
Basi na itoshe tu kusema maoni yoyote kinyume na hapo ni batili. Asanteni [emoji120]
...hata mimi sikutegemea, au kaibiwa simu akiwa online.Nmesikitika Sana,
Eti mshana nae Ni miongon mwao