Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Sasa si ndio mpaka hao wapenzi wapendane kweli na waamue kwa dhati ya mioyo yao kutulia. Ila kwa wengi ni mabalaa tu na vile mapenzi ya kipindi hiki ni full kuviziana basi tabu tupu.
Hii ni Kwa gender zote unapo lala Mika kuwa wanaume wana chepuka kwani hao wanaume Huwa wana chepuka na wanaume wenzao !?
 
Hapa unamaanisha kuoa wanawake wa Beijing na si kama ilivyo Kwa matakwa ya maandiko si ndio eeee, umesema;

1. Wanawake wanandoto zao which means hawana haja ya kuolewa hawezi taka kuolewa Bado akataka kutimiza ndoto zake, Bibilia imesema mwanamke ni msaidizi was mwanaume Maana yake anapoamua kuolewa anaacha uelekeo was Maisha yake anaambatana na uelekeo was mwanaume.

2. Umesema sex sio maji, kumbuka Moja ya hitaji la mwanaume lililompelekea kuoa ni sex ya Bila kupangiwa, Sasa kama Mwanamke ameolewa na anampangia mwanaume Kwa habari ya sex hapo ni kukaribisha michepuko na kuwa na michepuko Haina Maana ya kuolewa/ kuoa.

Yaani Kwa kifupi Kwa pointi ulizoziweka hapo HAKUNA HAJA YA KUOA MWANAMKE WA AINA HIYO, NI BORA UKAPAMBANA KISINGLE SINGLE UKIZIDIWA UKANUNUE OVA
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hii ni Kwa gender zote unapo lala Mika kuwa wanaume wana chepuka kwani hao wanaume Huwa wana chepuka na wanaume wenzao !?
Nimejibu kutokana na mada ilivyo, kuchepuka hakuna jinsia.
 
Icho ulicho kiongea hakiwezekani hata kwa wazungu wenyewe leo hii kwao ndipo wanaongoza kuachana, ndoa zimekuwa kama biashara mikataba nayo inahusika kwa kifupi kwao maana ya misingi ya ndoa iliyoweka na Mungu wameifuta. Wanawapa tabu watoto,wanakuwa namalezi sio mazuri,wenyewe waka pimp na kuita Co-parenting upuuzi mtupu.

Wapo wanawake waliosoma wanaojua nini maana ya ndoa, nini maana ya familia na nini maana ya mume na nafasi yake kama mke.Japo malimbukeni walio zuzuliwa na elimu plus 50/50 ndio wengi.
 
Uvuvi
images%20-%202022-07-04T203038.029.jpg
 
Umeongea Busara sana,,,,,Yote haya yanajadiliwa hapa ni Excuse za kinadada kutoheshimu Waume zao....

Na kuna vijana wa kiume aina ya mleta uzi wanaona KUTOHESHIMIWA ni sawa kabisa.... as long as wanasaidiwa Majukumu.
Ulemavu unaokua kwa kasi kuliko hata ukosefu wa nguvu za kiume A.K.A "MARIOO"
 
Nnachokiona mtoa mada Ni type zile za Wanaume wanaoogopa majukumu,

Ni mwanaume yule anayeimezea sana mate Ela ya MKE wake, anaamini kwa namna moja ama nyingine inasaidia kwenye bajeti zake.

Ni mwanaume yule anayeamini anaoa ili kupunguza makali ya maisha,

Mwanaume wa Hivi,
Kila mara atagombana na MKE wake kwa kutaka kupata hesabu ya mapato yake, maana ameoa akiwa na MAHESABU tayar.
Amesahau "pesa ya Ke yeyote imefungiwa sabufa" [emoji3]
 
Vitu alivyokuwa ananifanyia huyo manzi nilibwata tosha ngoja nikuulize ni mwanamke gani wa sasa hivi Unaweza kumpata akawa anakufulia nguo Tena bila hata kumwambia? Au akawa akusumbui hata pale unapomwitaji kwenye sex? Ni manzi yupi anaweza kuomba ruhusa kazini kwake kusudi akuhudumie wewe unapomwa Sana? Kea hivyo vitu kuna haja ya kupewa limbwata kweli?
Niko hapa nilimfanyia yote hayo tena na zaidi ila bado tuliachana
 
Kaandika pumba tupu,
Hivi mwanaume unapata wapi guts za kusema heshima kwako sio chochote, kinachojali na pesa iingie mfukoni?

Ndo Hawa wanafulishwa chupi na mikojo kwa kisingizio Cha mke kaenda kutafuta pesa.

Na linakaa kibarazani na bukta linachekelea kabisa meno 32 yote nje, MKE kaleta mboga na unga nyumbani[emoji34]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii namba moja saikolojia yao inagoma,wanaume mademocratic wengi wanateswa na wanawake wao,labda tu upate mwanamke matured na sio hawa wanaoshinda kwenye tamthilia.

Dharau ni inborn character,mtu anaiga kwa mama yake anachomfanyia baba yake brain zao zinacopy na kuzipaste kwenye ndoa.

Wanawake wengi wapumbavu uchukua ustaarabu,uungwana,upole wa mume ni uboya so uvuka mipaka na kutaka kuwaburuza waume zao.

Wanaume madikteta,wababe ndio zao udumu.
 
Back
Top Bottom