Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Hapa huwa nawashangaa sana, yaani Mwanaume unaanzaje kuwaza kusaidiwa na Mwanamke yaani msaidiane kuendesha familia, hilo ni jukumu letu sisi Wanaume peke yetu.
Uyu mtoa mada Ni mzee wa ganda la ndizi,
anapenda mtelezo TU

Ndo wale wakiambiwa watoe kijambio wanatoa haraka kwasababu Ni Uhuru wao na Hawana KAZI nacho, kwasababu Ela iko mezani[emoji3525]
 
Ubaya wa mwanamke msomi hata uishi nae vizuri kwa muda gani atakuja kubadilika tu akikutana na wanaharakati wenzake wakianza kumjaza ujinga hapo ndo utakuwa mwisho wako wakati huo mna watoto na mmeshajenga hapo ndo ujiandae kuhudhuria mahakamani.
Sahii kabisa,
Mwanamke akishashika uchumi, anayataka madaraka.

Akishaanza kutaka madaraka ndo pale mnapoanza kushindana, kila Siku ugomvi.

Mkitoka hapo ni talaka,
Hasara kwa watoto na familia kiujumla
 
Umenena vyema...

Nasisi tunachoka...maana tunafanya kazi kama wanaume...

Pia kusaidiana majukumu ni muhimu, hivyo ndio maana tunafanya kazi...

Kuna kufa, ajali...

Hapa mwanamke anaendeleza familia..bila kuwa na woga...

Uje PM upate zawadi Daby
Unamjaza Ujinga mwenzio
 
No matter her profile in the society, heshima ni lazima. Hata awe na dunia yote, mwanamke ni lazima aniheshimu...sitalazimisha, ila itakuja automatically...
Na mwanamke asiyekuheshimu hata akupende vipi, hawezi kuleta ushawishiwa wowote.

Mwanamke mwenye heshima,
Hata kumtreat vibaya mwenyewe Utaona aibu.
 
Ameumaliza mwendo,,,,na hajapigana Vita yoyote kama Mwanaume....
Kaandika pumba tupu,
Hivi mwanaume unapata wapi guts za kusema heshima kwako sio chochote, kinachojali na pesa iingie mfukoni?

Ndo Hawa wanafulishwa chupi na mikojo kwa kisingizio Cha mke kaenda kutafuta pesa.

Na linakaa kibarazani na bukta linachekelea kabisa meno 32 yote nje, MKE kaleta mboga na unga nyumbani[emoji34]
 
Vijana wa sasa bado wanaamini kwamba wakishaoa wanakua walemavu, kila kitu wafanyiwe.

Fanya mambo yako mwenyewe uwahi mishemishe zako za kujipatia mkate wa kila siku
Tatizo vijana hawajui wanaoa ili iweje.

ASILIMIA kubwa ya vijana Sikuhizi wanaoa wakiwa na ndoto za kupunguza makali ya maisha.

Wanasahau kua mwanaume Unapaswa uoe ili kutengeneza (boma lako)ukoo wako.
Ambapo hiyo ndio heshima yako maana jamii nzima itakutambua na kukuheshimu kwa Lile jina zuri au baya litakalosomeka kwenye ukoo wako.

Na kuitengeneza boma/ukoo ili uijenge heshima sio kazi ndoto.
Ni kazi ya kupambana kwa jasho na damu ili kukijengea heshima kizazi chako.

Na heshima ya nje haiwez kujengwa kwa kurisk kupoteza heshima ya ndani (kwa mkeo)
Ndo maana tangu tumekua, mke Ni mshaur. Mwamuz wa mwisho Ni mume.

Maana ndie ameshika usukani wa ukoo,
Chochote kile kikienda vizur au vibaya kitasoma kwa jina la mwenye ukoo (mume).
 
Yaani hata yale maandiko yaliyosema " Tuishi nao kiakili" naona bado hayajitoshelezi....binafsi nimeshawah tembea na wake za watu! Sio tabia yangu bt sikuona umuhimu wao kutembea na mimi..tena nikaja kujua status za wanaume zao ni wanajiweza kuliko mim..dah nilikuja kuwablock sababu ya usumbufu wao...bt nikawaza kwa hyo kuna siku wife angu nae atakuja fanyiwa kama nilivyo fanya...na hapa ndio likaja swali? Nichague mapenzi au pesa? Akili ikanituma pesa...caz mwanamke anahitaji sana attention ya muda wangu, pesa zangu na caring! Na akikikosa kimoja wapo tu ni kosa kubwa sana...na ukisema umtimizie vyote kwa pamoja kubali kuyumba na mbeleni ni mifarakano...ni illusion kwa kweli..
 
Huyo alosema Mwanamke Msomi blah blah blah ndio madhara ya Mfumo Dume Duniani,
Kwanini Mwanamke asifanye kazi au biashara mie nakua nawaona Mama zangu wanafanya biashara na walitulea na wao wanasema Mama zao hali kadhalika kumbuka hayo ni mambo ya miaka kenda,

Tukirudi kwenye suala la kumpokea Mume, why not Mume wangu karudi nyumbani kwanini nisimpokee kwa bashasha zote sio nimkimbilie lakini lazima ni muhug anipe kiss ya kwenye paji la uso na mie nampa pole kwa kazi, kwanini nisimpelekee Mume wangu Maji ya kunywa au Juice ya Matunda, kwanini nisimuogeshe Mume wangu, kwanini nisimfanyie massage Mume wangu, nisipomuenzi Mume wangu nani atamuenzi? Me mwenyewe napenda ninavyodekezwa kwanini nisimdekeze na yeye,
Kama hamna Mapendo kila kitu utaona kwako ni kero na utumwa,

Na hiyo Sex sio kila siku kila muda, Sex sharti nyote muwe tayari hapo tendo mtalifurahia, sio kisa umeoa basi muda wowote unataka tu, lazima muendane na moods ile ni starehe sio adhabu,
Anayesema Mwanaume anaoa ili apewe Sex bila kupangiwa huyo ni wa kuhurumiwa sana, hajapata somo la Ndoa hata kidogo,

Mapenzi ya Ndoa ni Kupendana, Kuheshimiana, Kudekezana, Kuvumiliana, Kuhurumiana na zaidi Kusaidiana.
 
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Hujaoa,subiri ukioa utaelewa
 
Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Kaa hivyo hivyo. Pokea tu hivyo hivyo bila kureason. Ukifika miaka 50 tafuta wa kukuoa hapa JF kwa mada za "Nataka mume wa kunioa" na uweke vigezo. Tutakuja tu PM.

Waanzisha mada za namna hii ukute ndiyo wanaabudiwa hao na wake zao. Amri haziishi kwao. Lakuambiwa, changanya na lako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Sioni tatizo kwenye andiko la
#Kamgomoli.
Kwako naona kuna mihemko tu&upimbi.
Soma upya andiko lake,kisha
soma na lako,kisha upime
mwenyewe.
 
Kama wanaume wa sasa tuko hivi basi wanawake wa sasa wanakila sababu ya kuwa single mothers. Kwa kifupi huu sio uanaume unaoweza kukufanya ukawa na familia na kuimudu(kuicontrol).
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke anataka afunguliwe mlango wa gari kwani yeye hawezi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji15][emoji1][emoji15][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Point kubwa sana mkuuu. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu eti panabhabha!
 
Wakuu sijakimbia uzi majukumu kidogo nitarudi...kujibu hoja.
 
Yani wewe na mauchawi yako yote umeshindwa kutambua mwanaume na mwanamke ni viumbe tofauti, walioumbwa tofauti kwa ajili ya majukumu tofauti na ya kwamba mwanamke yupo kwa ajili ya kumsaidia mwanaume kutimiza maono kwa ajili ya familia ?! Sasa kama hata hilo haujui, mauchawi yako yanafaida gani ?!

Kama kanunu rahisi kabisa za ulimwengu zinakupiga chenga.

Aloooo[emoji16][emoji16]
 
Kitu nachoweza kusema ni

Mwanaume unapoamua kuowa basi jua your responsible kwa kila kitu kwenye familia yako kwa100% Mkeo kufanya kazi ni choice ya mume wake!

Ki maandiko (bible) inamzungumzia mwanamke kama msaidizi wa mume wake. Hivyo huwez kusema kua “anamaono yake” how kivipi? Je hi ni familia? Ikiwa kila mtu anayake?

Dear ladies unapoolewa basi jua utatakiwa kutimiza wajibu wako kama mke!. Na mimi nitimize wangu kama mume!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke anataka afunguliwe mlango wa gari kwani yeye hawezi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom