The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Siwezi kukusahau mkuuSawa mkuu nimekupata ila usinisahau kunitag ukiweka uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kukusahau mkuuSawa mkuu nimekupata ila usinisahau kunitag ukiweka uzi
Kamwe mabadiliko ya sayansi na utandawazi hayawezi kubadili nafasi na majukumu ya wanaume na wanawake.Kuna vitu vikikaliwa kimya hasa vikiwahusisha Wanawake vinazidi kuwaharibu Wanawake, mfano wa haya ni huu uzi wako.
Kuna jambo unatakiwa kulijua, kuna mambo huwa hayapitwi na wakati na wala hayapaswi kuathiriwa na wakati, utu,silika na nafasi ya mwanaume na mwanamke katika kujenga jamii. Hivi vitu hata mabadiliko yawe yatakavyo kuwa wakati unatakiwa kufata vitu hivyo, yaani utu, silika na nafasi ya mwanamke na mwanamke hii ndiyo asili, ukiviacha vitu hivi madhara yake ni haya tunayo yaona hapa.
Nukta hii umeilezea kwa kumili upande mmoja, Mwanamke ni kweli hapaswi kuburuzwa na sisi Wanaume hatutakiwi tuwe watemi kwa wake zetu kwani utemi si katika mapenzi bali ni uharibifu.
Lakini, je ni kweli wanawake wa leo wanaelewa vipi tamko kuburuzwa ? Tamko hili wanalielewa vibaya bali wanawake wa leo wametengenezwa kuwa na hofu na kutuona sisi Waume zao kuwa ndiyo maadui zao wakubwa na tunawakwamisha, na kila uchwao wanapambana kushindana na sisi.
Bali hakuna zama ambazo Wanawake wamekuwa wajinga kuzidi zama hizi, mwanamke amekuwa kama Mshumaa tu na amezidi ujinga mno.
Demokrasia si mfumo sahihi kuanzia kwenye afya ya akili mpaka utendaji, ungekuwa mfumo sahihi ungetumika tangu na tangu.
Hapa kuna tatizo mahali. Unakaaje na mwanamke asiye kuheshimu ?
Umbile la mwanaume linamtaka mwanamke awe chini yetu. Na hii ndiyo furaha yetu sisi Wanaume bsli mpaka wao wsnapenda kuwa chini yetu, ila tu kuna wajinga wamewawahi.
Hili siyo lazima, ila hapa pa Mwanamke kutoka kazini, hivi wanaume wenzangu huwa mnawaza nini au mnawezaje kuandika jambo kwamba "Mwanamke ametoka kazini" na wewe Mwanaume upo ?
Mimi mmoja wapo nataka watoto zangu wa kike wakae majunbani mwao sababu huko ndiyo salama yao ilipo, sababu mama zao mama wa nyumbani.
Nani alikudanganya ya kuwa Mwanamke akiwa nyumbani hatimizi ndoto zake ? Wapo wanawake wengi wako majumbani na wametimiza ndoto zao kuliko hata hao ambao wanapambana kuutafuta ugali.
Ndoto zao na wapo Wanawake wengi zaidi waliopo maofisini na wanatafuta ugali hawajitimiza ndoto zao.
Nyinyi ndiyo mnazidi kuwafanya wanawake wazidi kuwa wajinga na wawe wavivu wa kufikiria na mwisho wa siku wanakuwa bidhaa na wao wanao sawa kwamba wamekombolewa
Hivi kuna haja gani ya Mwanamke kutoka kwenda kazini hali ya kuwa wewe unaleta nyumbani ?
Dunia imebadikika ila uhalisia haujabadilika na silika zetu hazijabadilika. Tuishi kwenye asili huko ndiko usalama ulipo.
Sema huo ni msimamo wako.Nisaidie kujibu hii hoja yangu, ambayo naona kwa hakika wanawake wenye kazi hawafai na hawawezi kua mama na hata wake bora, kwa sababu hawana muda wa kulea watoto (ambalo kiasili na kma maumbile ndio jukumu lao) na pili kipaumbele chao sio familia bali kazi na vyeo. Hamnaga muda na familha na ni kichaka cha kutegea majukumu yenu ya asili.
Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi 😂😂
Kwanini upelekewe maji bafuni? Siuweke maji bafuni..hata sio milioni 1.
Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Kuna wanawake wanapenda kumhudumia mume.Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Hapa huwa nawashangaa sana, yaani Mwanaume unaanzaje kuwaza kusaidiwa na Mwanamke yaani msaidiane kuendesha familia, hilo ni jukumu letu sisi Wanaume peke yetu.Habari mbaya ni kua wanaume wa kileo wanataka kua kama wanawake (wasaidiwe) na wanawake wanataka kua kama wanaume (watafute kwa jasho na wawe na mamlaka)
Mkuu ukistaajabu ya Kitonga utayaona ya Uchebe. Mwanaume kamili wazo la kusaidiwa tu linamkera, tena mbaya zaidi kusaidiwa na mwanamke.Hapa huwa nawashangaa sana, yaani Mwanaume unaanzaje kuwaza kusaidiwa na Mwanamke yaani msaidiane kuendesha familia, hilo ni jukumu letu sisi Wanaume peke yetu.
Kwani si watumie shower au bath tub tu?Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi 😂😂
Kwani si watumie shower au bath tub tu?
Kwani si watumie shower au bath tub tu?
☹️☹️☹️☹️Najua kua unaweza pia hata kukataa kwamba wewe sio kiumbe hai.
wewe mtu weweNdo maana nona ni vyema nikapata watoto 3 tu then niwalee
Nimefanyaje jamani my bff?wewe mtu wewe
I like the last word, unajua ulichofanya bff wanguNimefanyaje jamani my bff?
Aisee jamaani keep calm, ngoja protocol zikae sawa please.i like the last word, unajua ulichofanya bff wangu