Labda huyo mwanaume awe ni malaya by nature mbona mimi nilipataga demu mmoja wa kislamu wa kitanga huyo demu anajua kutreat mwanaume kiasi ambacho unajiona mwanaume unapendwa Sana upo pekee yako huyo demu alikuwa ananifulia nguo na kunipigia paso bila hata mimi kumuomba au kumwambia nilikuwa naogeshwa, nalishwa nikiwa kwenye mishe mishe zangu unaulizwa baby nikupikia nini leo by the way nilipataga mahaba ambayo mengine sijawahi kupata kwa mwanamke yoyote huyo manzi alinifanya nisitamani kuwa na mwanamke yoyote nami Nilimpenda Sana kiasi mpaka watu wakawa wanadhani nimelishwa limbwata kumbe ni mambo niliyokuwa nayapata ni adimu.Ni manzi ambaye nilipanga kabisa nije nimuoea sema shida ilikuwa ipo kwa Wazazi wake hawakutaka nimuoea binti yao kwasababu nilikuwa mkristo nilikula beat sizamchezo kwa kaka yake na baba yake na wewe unajua vizuri waislamu hawanaga utani linapokuja kwenye dini unaweza kufanywa chochote so nikaona Bora niachane na huyo manzi ingawa yeye akupenda lakini sikuwa najinsi.