Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

Anko T ni nini 😂😂😂
Ungejuta,ana mdomo yule🙌
 
Hivi serikali ilishindwa kweli kuwakamata na kuwapeleka Psychitric Unit vijana wa 'nivunjie biskuti hii' kwani sasa wametapakaa kila sehemu si Kinondoni tu, yaani wilaya zote za Dar hao wazee wa kuvunjiwa biskuti wametapakaa. Yaani unakuta mpaka Diamond naye kajiingiza huko ila yeye kapiga hatua zaidi ya kupanda ndege na kwenda kupakatwa na kupakwa mafuta ya ****** na P. Diddy huko kwa baba yetu wa kambo Mze Peter.
 
Ndio maana wana vi🍑 vigumu kama halfcake za waha 😂

Natania tu wasomi haii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…