Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Huyu nipo tayari kutuma na ya kutolea!😄😄😄Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaandikaje mkuu?Huyu hawezi kuandika xawa
Huwa nawakubali sana wanawake wanaojituma, hapo hata akinambia ana shida na hela kiasi fulani, kama niko nazo nampatia bila wasi!
Changia mada usitoke nje ya mada!Kwa hiyo Khadija & Lulu & Halima & Zulpha & Amida & Mwantumu & ... huwatumii tena!???
SawaAnaandikaje mkuu?
huyu sio jasiri bali mjinga kwenye kivuli cha ujasiriJasiri ndiyo tafsiri ya #Mwanamke wa shoka View attachment 1716212
Rafiki naona hii mada imekuibua kutoka mafichoni!😄😄😄Hiyo picha hapo ni wewe kabisa na zile mishe zako za kusaka hela!Asante Sana
UongoHuwa nawakubali sana wanawake wanaojituma, hapo hata akinambia ana shida na hela kiasi fulani, kama niko nazo nampatia bila wasi!
Mjibu alichokuulizaChangia mada usitoke nje ya mada!
Huyu nipo tayari kutuma na ya kutolea!😄😄😄Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
View attachment 1716196
Weka ukweli unaoujua!Uongo
Hata wewe unaweza kumjibu, usinilazimishe nimjibu kitu ambacho sijaona umuhimu, alichoandika hapo ni majina ya wanawake siwafahamu. Then sipo kihivyo. Nina familia na naiheshimu sana.Mjibu alichokuuliza