Mwanamke wa shoka

Mwanamke wa shoka

Tuchapeni kazi tulijenge taifa letu zuri la Tanzania. Wapuuzeni Wabelgiji na Mr Mzungu wao wanaotaka kutuchonganisha & kutupiganisha ili kuivuruga amani yetu, waje kujichotea rasilimali zetu bure. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Mbelgiji kaingiaje hapa we Lumumba fc? Watu kama wewe mnamwangusha sana mwenyekiti wenu aisee Fanya kama umekua basi sio kila kitu siasa tu agggghhh

Natania tu mataga hata usimaindi!
 
huyu sio jasiri bali mjinga kwenye kivuli cha ujasiri
Ujinga wake nn hapo???...wakati hapo kuna daraja lakini Maji yamekuwa mengi na yanapita juu ya daraja..hivyo yeye anapita chini anakanya daraja na pembezoni anazuiwa na kingo za daraja...kuhusu uimara wa daraja ikumbukwe yeye ni mwenyeji wa eneo hilo amepita kipindi cha mvua na kipindi kisicho cha mvua...na ukizingatia hakuna njia mbadala ya hilo eneo.
 
Kuna mmoja huyo nilimuona anagonga gia kwenye DAF XF zile trip town, hana time, anakitaabisha tu chombo ya mzungu.
 
Tuchapeni kazi tulijenge taifa letu zuri la Tanzania. Wapuuzeni Wabelgiji na Mr Mzungu wao wanaotaka kutuchonganisha & kutupiganisha ili kuivuruga amani yetu, waje kujichotea rasilimali zetu bure. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Wewe hizo rasilimali umezichota? Baba yako alifanikiwa kuchota? Mama yako alipata hata kiduchu? Hizo mnazoita rasilimali hata hamjui kazi yake,beberu lisipokuja kutalii hao tembo mtawanywa supu,almasi mtachezea bao
 
Kuna mmoja huyo nilimuona anagonga gia kwenye DAF XF zile trip town, hana time, anakitaabisha tu chombo ya mzungu.
Kuna mmoja anaendesha Axor Benz ya mafuta anaelekea Burundi
 
Nashanga siku hizi mwanamke mdangaji
Eti ndiyo anapewa umwanamke wa shoka

Ova
 
Kazi zipo nyingi zinazowafaa wanawake mojawapo ni kazi ya kuhesahu hela,kazi za Ku clear bills kwenye makampuni nk
Unampangia mtu kazi ya kufanya?Unaelewa kuwa hapa duniani moja ya kitu kinachompa mtu furahaa ni pamoja na kuchagua kufanya kazi anayoipenda yeye?
 
Back
Top Bottom