ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
You miss the point.......Unampangia mtu kazi ya kufanya?Unaelewa kuwa hapa duniani moja ya kitu kinachompa mtu furahaa ni pamoja na kuchagua kufanya kazi anayoipenda yeye?
hao wanawake wa garage kama ni type zako date nao sio kesi.......
Sisi wengine tuna date na walimbwende tu