Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Mbelgiji kaingiaje hapa we Lumumba fc? Watu kama wewe mnamwangusha sana mwenyekiti wenu aisee Fanya kama umekua basi sio kila kitu siasa tu agggghhhTuchapeni kazi tulijenge taifa letu zuri la Tanzania. Wapuuzeni Wabelgiji na Mr Mzungu wao wanaotaka kutuchonganisha & kutupiganisha ili kuivuruga amani yetu, waje kujichotea rasilimali zetu bure. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Ujinga wake nn hapo???...wakati hapo kuna daraja lakini Maji yamekuwa mengi na yanapita juu ya daraja..hivyo yeye anapita chini anakanya daraja na pembezoni anazuiwa na kingo za daraja...kuhusu uimara wa daraja ikumbukwe yeye ni mwenyeji wa eneo hilo amepita kipindi cha mvua na kipindi kisicho cha mvua...na ukizingatia hakuna njia mbadala ya hilo eneo.huyu sio jasiri bali mjinga kwenye kivuli cha ujasiri
HakikaHuyu nipo tayari kutuma na ya kutolea![emoji1][emoji1][emoji1]Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
View attachment 1716196
Wewe hizo rasilimali umezichota? Baba yako alifanikiwa kuchota? Mama yako alipata hata kiduchu? Hizo mnazoita rasilimali hata hamjui kazi yake,beberu lisipokuja kutalii hao tembo mtawanywa supu,almasi mtachezea baoTuchapeni kazi tulijenge taifa letu zuri la Tanzania. Wapuuzeni Wabelgiji na Mr Mzungu wao wanaotaka kutuchonganisha & kutupiganisha ili kuivuruga amani yetu, waje kujichotea rasilimali zetu bure. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Kuna mmoja anaendesha Axor Benz ya mafuta anaelekea BurundiKuna mmoja huyo nilimuona anagonga gia kwenye DAF XF zile trip town, hana time, anakitaabisha tu chombo ya mzungu.
Kama ni mbongo nadhani namfahamu, alikuwaga TPA kipindi fulani sasa hivi ana TransitKuna mmoja anaendesha Axor Benz ya mafuta anaelekea Burundi
Kadada flani hivi age yake ni kama 37/39 ana dreads!Kama ni mbongo nadhani namfahamu, alikuwaga TPA kipindi fulani sasa hivi ana Transit
Sio huyoKadada flani hivi age yake ni kama 37/39 ana dreads!
Siwezi kutembea wala kuoa mwanamke wa hivi abadanHuyu nipo tayari kutuma na ya kutolea!😄😄😄Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
View attachment 1716196
Utaoa mwanamke wa namna gani abadan?Siwezi kutembea wala kuoa mwanamke wa hivi abadan
Sema picha haina uhalisia ,waliamua kupiga picha tuHuyu nipo tayari kutuma na ya kutolea![emoji1][emoji1][emoji1]Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
View attachment 1716196
Nitaoa mwanamke mwenye mwili na ngozi nyororo.....Utaoa mwanamke wa namna gani abadan?
Mwili na ngozi nyororo hutokana na hela!Sasa kama hafanyi kazi atapata wapi hela?Nitaoa mwanamke mwenye mwili na ngozi nyororo.....
Wala hawezi kuandika "tyuu" na "jomoni" hata ukimtumia na ya kutolea hawezi kuandika "tnx" kama wale washamba wengine...Huyu hawezi kuandika xawa
Kazi zipo nyingi zinazowafaa wanawake mojawapo ni kazi ya kuhesahu hela,kazi za Ku clear bills kwenye makampuni nkMwili na ngozi nyororo hutokana na hela!Sasa kama hafanyi kazi atapata wapi hela?
Unampangia mtu kazi ya kufanya?Unaelewa kuwa hapa duniani moja ya kitu kinachompa mtu furahaa ni pamoja na kuchagua kufanya kazi anayoipenda yeye?Kazi zipo nyingi zinazowafaa wanawake mojawapo ni kazi ya kuhesahu hela,kazi za Ku clear bills kwenye makampuni nk