ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
You miss the point.......Unampangia mtu kazi ya kufanya?Unaelewa kuwa hapa duniani moja ya kitu kinachompa mtu furahaa ni pamoja na kuchagua kufanya kazi anayoipenda yeye?
You miss the point.........You miss the point.......
hao wanawake wa garage kama ni type zako date nao sio kesi.......
Sisi wengine tuna date na walimbwende tu
Sio kesi deal nao hao wachezea vyuma mm na deal na hawa wanao ogea maziwa....You miss the point.........
Walio walimbwende kwako siyo lazima wawe walimbwende kwangu na walio walimbwende kwangu siyo lazima wawe walimbwende kwako.Unavyodai kuwa unadate na walimwende tu kwani nani kakwambia kuwa hawa wa garage siyo walimbwende kwa upande wangu?
Kufanya kazi unayoipenda ni shida?What if ndiyo kazi anayoipenda?Wanawake hawajaumbiwa shida.
Huyo jikedume atakuwa. Yaani mimi urembo wote niliokuwa nao nikashike uchafu. Thubutuuuuu.....Kwani madanga yameisha?Kufanya kazi unayoipenda ni shida?What if ndiyo kazi anayoipenda?
Wewe ndiyo wale mnaomba na ya kutoleaTuchapeni kazi tulijenge taifa letu zuri la Tanzania. Wapuuzeni Wabelgiji na Mr Mzungu wao wanaotaka kutuchonganisha & kutupiganisha ili kuivuruga amani yetu, waje kujichotea rasilimali zetu bure. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Anaandika sawa.Anaandikaje mkuu?
Kwa alivyo hata yeye hawezi kuolewa na mtoto wa mama kama weweSiwezi kutembea wala kuoa mwanamke wa hivi abadan
🤣🤣🤣Wewe ndiyo wale mnaomba na ya kutolea
Hadi mnagombea vipodozi na vilainishiYou miss the point.......
hao wanawake wa garage kama ni type zako date nao sio kesi.......
Sisi wengine tuna date na walimbwende tu
Sisi wenye ngozi ngumu nene tunahitaji viumbe vilaini.....tek thatKwa alivyo hata yeye hawezi kuolewa na mtoto wa mama kama wewe
Unataka kusema wameumbiwa kukalishwa na kuingiliwa tu?Wanawake hawajaumbiwa shida.
Usikute hata Pesa yenyewe ya kuwamiliki huna unaishia tu kuwaona pichani na kuwaita mashemejiSio kesi deal nao hao wachezea vyuma mm na deal na hawa wanao ogea maziwa....
Kwani hata wakipata Shida ndio hawaingiliwiUnataka kusema wameumbiwa kukalishwa na kuingiliwa tu?
Niletee dada zako niwahonge sharti wawe wazuri tu wasiwe ma poligon hapo ndio utajua nina mawe au laa.Usikute hata Pesa yenyewe ya kuwamiliki huna unaishia tu kuwaona pichani na kuwaita mashemeji
Huyo mwenyewe dada yako wa mbeya(home girl).Niletee dada zako niwahonge sharti wawe wazuri tu wasiwe ma poligon hapo ndio utajua nina mawe au laa.
Dada zangu haustahili hata kuwafunga kamba za viatu vyao sembuse kuwahonga! Utawahonga nini labda wao ndiyo wakusaidie hela za bundle ili uendelee kujitutumia huo ujinga wako humu!Niletee dada zako niwahonge sharti wawe wazuri tu wasiwe ma poligon hapo ndio utajua nina mawe au laa.
Ha ha hasa walete niwale goti usihof brother nitawatunza watakuhadithia mema ya nchiDada zangu haustahili hata kuwafunga kamba za viatu vyao sembuse kuwahonga! Utawahonga nini labda wao ndiyo wakusaidie hela za bundle ili uendelee kujitutumia huo ujinga wako humu!