Mwanamke wa uswahilini

Tunamfata na matarumbeta mbona, na ilo vagi lake ataliweza? Atatoa vyetu na visivyo vyetu nakwambia huku camera za mawingu tv zinamchukua mubashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza hapo tuna Dera letu la sare,,na keki yetu tumebeba imeandikwa""Aso Fadhila ,Hafadhiliki" hapo Kuna matarumbeta hapa Kuna kigoma Cha Uruguay ni kisangaaa
 
Kwanza hapo tuna Dera letu la sare,,na keki yetu tumebeba imeandikwa""Aso Fadhila ,Hafadhiliki" hapo Kuna matarumbeta hapa Kuna kigoma Cha Uruguay ni kisangaaa

Pambeeeeee!!! [emoji108]

Hekaheka iko hewani live na Gea udugu atajua hajui!!!

Tukifika kwanza wapambe wangu wanasafisha njia afu mwenyewe sasa napiga msamba kisha natingisha nyash kuonyesha nimefika. “NATAKA VITU VYANGU” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila Akili za watu wa kwetu ni raha sana,si waume si wanawake ni wehuuuu
 
Wachafu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila Akili za watu wa kwetu ni raha sana,si waume si wanawake ni wehuuuu

Uswazi raha sana, kule tuna stress za kununua vijora vipya tu! Mabwana wa ushuhani wakituonja wanataka watumiliki kwa mijudo tunayowarukia kwenye uwanja wa fundi seremala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo wanataka kutumiliki na sie hayo mambo sio yetu, tunataka kuonyesha ujuzi kwa watu mbalimbali [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Mnataka kuutendea kazi profession🤣🤣🤣🤣🤣utakuta maskini mkaka na Vanguard yake amemfuata MwaJ,Sasa hiyo mikogo ya Mwa J utadhani ndio keshapewa kadi ya Vanguard.........
Hamisa Mobetto anatuwakilisha vyema sana watoto wa uswazi🤣
 
Yaani Diamond alikuwa anatoroka ushuani anaenda Uswazi ya Kiwalani mpaka alipofumwa.
 

Na wanatulilia mpk machozi km watoto na Vanguard zao, wanasema tuache uswahili wa kugawa kwa kila mtu!!

Jotroo la kei linawavuruga hawajawahi kuona kwa washua wenzao, kisamaki kingi wavuvi kempu inacheua

Hamisa ndio role model wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yule sasa hivi anasambaza ujuzi duniani huko🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…