YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
View attachment 2704502
[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39] chachandu hapo ikolee mbilimbi igwaduke na pilipili waeke zile kichaa, ukila mpk tumachozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2704502
[emoji39][emoji39][emoji39]
Kwanza hapo tuna Dera letu la sare,,na keki yetu tumebeba imeandikwa""Aso Fadhila ,Hafadhiliki" hapo Kuna matarumbeta hapa Kuna kigoma Cha Uruguay ni kisangaaaTunamfata na matarumbeta mbona, na ilo vagi lake ataliweza? Atatoa vyetu na visivyo vyetu nakwambia huku camera za mawingu tv zinamchukua mubashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawazeeki haraka na karibu wote wana wowowo kubwa
Kwanza hapo tuna Dera letu la sare,,na keki yetu tumebeba imeandikwa""Aso Fadhila ,Hafadhiliki" hapo Kuna matarumbeta hapa Kuna kigoma Cha Uruguay ni kisangaaa
Nasikia chakula pendwa Afrika Kusini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila Akili za watu wa kwetu ni raha sana,si waume si wanawake ni wehuuuuPambeeeeee!!! [emoji108]
Hekaheka iko hewani live na Gea udugu atajua hajui!!!
Tukifika kwanza wapambe wangu wanasafisha njia afu mwenyewe sasa napiga msamba kisha natingisha nyash kuonyesha nimefika. “NATAKA VITU VYANGU” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Hadi nchi zilizoelendelea wanitambua sisi nchi zinazoendelea ni kina nani basi tupinge....😁😁Nasikia chakula pendwa Afrika Kusini
Balaa,,kitoto Cha darasa la Tano kinakutoa nishai mtu mzimaNa wanafundishwa wakiwa wadogo
WachafuNgoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.
Ongezea mengine kama yapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila Akili za watu wa kwetu ni raha sana,si waume si wanawake ni wehuuuu
Mnataka kuutendea kazi profession🤣🤣🤣🤣🤣utakuta maskini mkaka na Vanguard yake amemfuata MwaJ,Sasa hiyo mikogo ya Mwa J utadhani ndio keshapewa kadi ya Vanguard.........Uswazi raha sana, kule tuna stress za kununua vijora vipya tu! Mabwana wa ushuhani wakituonja wanataka watumiliki kwa mijudo tunayowarukia kwenye uwanja wa fundi seremala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo wanataka kutumiliki na sie hayo mambo sio yetu, tunataka kuonyesha ujuzi kwa watu mbalimbali [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na vikukuuWanapenda kuvaa viatu vya manyoya
Na mimi napenda sana Uswazi kwa sababu hiyoNa tuna minato balaa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Yaani Diamond alikuwa anatoroka ushuani anaenda Uswazi ya Kiwalani mpaka alipofumwa.Mnataka kuutendea kazi profession🤣🤣🤣🤣🤣utakuta maskini mkaka na Vanguard yake amemfuata MwaJ,Sasa hiyo mikogo ya Mwa J utadhani ndio keshapewa kadi ya Vanguard.........
Hamisa Mobetto anatuwakilisha vyema sana watoto wa uswazi🤣
Mnataka kuutendea kazi profession[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utakuta maskini mkaka na Vanguard yake amemfuata MwaJ,Sasa hiyo mikogo ya Mwa J utadhani ndio keshapewa kadi ya Vanguard.........
Hamisa Mobetto anatuwakilisha vyema sana watoto wa uswazi[emoji1787]
Eeh muhimuNa vikukuu
Na mimi napenda sana Uswazi kwa sababu hiyo
Yule sasa hivi anasambaza ujuzi duniani huko🤣🤣🤣Mnataka kuutendea kazi profession🤣🤣🤣🤣🤣utakuta maskini mkaka na Vanguard yake amemfuata MwaJ,Sasa hiyo mikogo ya Mwa J utadhani ndio keshapewa kadi ya Vanguard.........
Hamisa Mobetto anatuwakilisha vyema sana watoto wa uswazi🤣
Hiyo kali sasaTunachambia karafuu na mgagani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]