Mwanamke wa uswahilini

Usirogwe kumpa ofa ya Bia kwenye Bar iliyotulia,zikishapanda kichwani utakimbia umuache,maana miziki yote anajua kuiimba na kuicheza yeye,sasa kama uliingia kwa kujibanza banza cha moto lazima ukione...
 
Hawanaga baya my zangu, shughuli kwao kipaumbele, wanasherehekea hadi talaka.

Hawanaga stress za mambo makubwa, mipango yao ya maisha ni kununua kabati la vyombo, sabufa, masufuria etc akijitahidi sana plot futi kadhaa, wenyewe wanaita “uwanja”

Kwao gari ni gari, liwe la milioni 4 , au 32 zote ni gari tu ilimradi inamfikisha mahala. Kama unahisi utamtisha na Audi yako au Bima then fikiria mara 2 😅, Saidi atakuja kumng’oa na vits yake old model utashangaa na roho yao.

Beauty standard yao ni kuwa mweupe! Elimu ya uzuri in different perspectives inatakiwa itiliwe mkazo sana kule. Tunamshukuru Mungu kwaajili ya maendeleo ya mitandao mdogo mdogo mambo yatabadilika.

Wanasifiwa kwa kujua mapenzi, ila wanaongoza kwa kuachika… i think something to do with personality.

Ni watu bora sana, until atakapotakiwa kumkuza mtu mwingine kama yeye “Mtoto”.

Anyways…. Mi sio wa ushuani, mimi ni wa kijijini. Village girl all the way!
 
Umeandika vizuri sana....
 
Wanatusitiri saana, hawana vibomu vikubwa, ukimnunulia kijora cha shughuli umekula.
Tunawala saana kwa marejesho ya halichachi, kausha damu.
Guest ya elfu 5 tu na chips kavu umekula mzigo, tena wakati mwingine hyo hyo buku 5 ukimpelekea kwake unakula mzigo kibosi tu, na maji ya kuoga unachemshiwa.
Hapo ndipo wajuba tunapogoma kuoa, maziwa napata, nyama napata, ya nini kufuga ng'ombe😂😂😂

Wanawake wa uswazi oyeeee..🤣🤣
 
Muda wote kiwanja hakina nyasi
 
we jamaa jau sana😂
 
Mambo gani yanawakera?nyie si mtuachee[emoji26][emoji1787]?

[emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaaaaaa haki ya nani ni wambea halafu umbea wa uongo unaweza kuzushiwa jambo mpk ukaogopaa…

Yaani mimi mtaani kwetu sina rafiki ukiona nimetoka ni dukani na kusalimiana kawaida naogopa hata kujichanganya nisije zushiwa jambo

Ila napenda sana sherehe zao huwa naenda mpk kuangalia wanavyochezacheza na madela yao wanatingisha tako moja moja wengine hawajavaa chupi wengine wanapandisha dera wanaonyesha chupi [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…