Hawanaga baya my zangu, shughuli kwao kipaumbele, wanasherehekea hadi talaka.
Hawanaga stress za mambo makubwa, mipango yao ya maisha ni kununua kabati la vyombo, sabufa, masufuria etc akijitahidi sana plot futi kadhaa, wenyewe wanaita “uwanja”
Kwao gari ni gari, liwe la milioni 4 , au 32 zote ni gari tu ilimradi inamfikisha mahala. Kama inahisi utamtisha na Audi yako au Bima then fikiria mara 2 😅, Saidi atakuja kumng’oa na vits yake old model utashangaa na roho yao.
Beauty standard yao ni kuwa mweupe! Elimu ya uzuri in different perspectives inatakiwa itiliwe mkazo sana kule. Tunamshukuru Mungu kwaajili ya maendeleo ya mitandao mdogo mdogo mambo yatabadilika.
Wanasifiwa kwa kujua mapenzi, ila wanaongoza kwa kuachika… i think something to do with personality.
Ni watu bora sana, until atakapotakiwa kumkuza mtu mwingine kama yeye “Mtoto”.
Anyways…. Mi sio wa ushuani, mimi ni wa kijijini. Village girl all the way!